Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Hired crowd?CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi
CCM msiforce kupendwa.
Nenda kasimame barabara ya airport utashuhudiaweka ushahidi
Waliotoa amri ya wananchi kusombwa ndiyo wajinga.CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi
CCM msiforce kupendwa.
Ndo hivyo mkuu watakua pale kirumba yani full kero na kuharibu shughuli za watuJana nimepokea barua kutoka ofisi ya management ya Rock City Mall kuwa jumatatu sitakiwi kufungua biashara yangu kwa sababu maegesho ya Rock City Mall yatatumiwa na viongozi wa serikali watakaokuwa kwenye mwenge kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa saba mchana.
Kiukwl toka nione siasa za bongo pasua kchwa mm nimeona jambo laktaiva kuliko niende kupoteza muda bora npge bia yang ya Guinness mbili na coke n jifurahishe maishan hii taifa watakuja kulikomboa uwenda n kzaz ya kusadikka lakn ss 🤣🤣🤣 tulen tu ugali maharagweCCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi
CCM msiforce kupendwa.
Atleast wangezuia tu parking kwa raia wenye magari yao ila biashara iendelee kama kawaidaNdo hivyo mkuu watakua pale kirumba yani full kero na kuharibu shughuli za watu
nimefika nimeona wanaenda kwa mapenzi yaoNenda kasimame barabara ya airport utashuhudia
Niliwambia CDM ni chama cha wazushi na waong😵h!! Lowasa ni fisadi.Halafu akaja kuwa mgombea urais wa cdm.CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi
CCM msiforce kupendwa.
Umekatwa kichwa.unaandika kama huna ubongo.Wajinga mliobaki ni wachache sana.Kama ni hivyo wanastahili kupongezwa kwa kufanikiwa kuwapata hao wa kuwapeleka. Chadema hapa juzi kati kilishindwa kuwapata hata watu kumi katika maandamano njaa hapo dar......magari yalirudi na mtu mmoja au wawili ambao nao wakafikia tu lodge walikopangiwa na kina lissu bila hata ya kutoka ndani na hivyo kuyafanya maandamano yadode kupitiliza katika historia ya nchi hii.
Huna kazi ya kufanya? Kazi yako kukodolea macho na makalio yako barabarani kuangalia magari yanayopita ?CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi
CCM msiforce kupendwa.
Sasa watu watembee kwa mguuCCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi
CCM msiforce kupendwa.
we ulijuaga Ile nyomi inatokaga wapi.weka ushahidi
Yes,CCM wanalazimisha sana kukubalika