Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Sema kipenzi Cha baadhi ya wanaccm,sio Watanzaniahakuna haja ya katiba ingine, si muhimu wala kipaumbele kwasasa..
Serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hasan ipo kazini kuwapelekea waTanzania maendeleo na si vinginevyo π
hakuna haja ya katiba ingine, si muhimu wala kipaumbele kwasasa..
Serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hasan ipo kazini kuwapelekea waTanzania maendeleo na si vinginevyo π
Ukawa unamshangaa na redio Yako ya uongo kwa kusomba wanafunzi!Watu walijipanga barabarani kumpokea papa kutokea uwanja wa ndege sijui mpaka wapi , maana Mimi nilikua pale makutano ya barabara Tazara Railway Station nilishangaa kwa umati kama Ule.
kwahivyo wanaCCM sio waTanzania right?π€£Sema kipenzi Cha baadhi ya wanaccm,sio Watanzania
Hilo la wote nakukatalia, maandamano ya Amani kupinga walikuwa na kutekwa yaliyoandaliwa na baadhi ya watanzania alishiriki!Kama ni kipenzi Cha watanzania?Ni kipenzi Cha baadhi ya wanaccm ingawa ni watanzania, FULL STOP.......yajayo yatakuduwaza na Mwashambwa!kwahivyo wanaCCM sio waTanzania right?π€£
Rais, Dr. Samia ni kiongozi kipenzi cha wananchi na waTanzania wote katika ujumla wake.
Na hili liko wazi na wala halihitaji mjadala π
Sizani kama hao wamelazimishwa kama unavosema,,CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi
CCM msiforce kupendwa.
kwa taarifa yako waTanzania wote zaidi ya milioni 50 ikiwa ni pamoja na wanafunzi wasomi wa ngazi zote tangu chekechea, wameshaamua tayari kwamba iwe jua au mvua ni Dr.samia Suluhu Hassan mpaka 2035πHilo la wote nakukatalia, maandamano ya Amani kupinga walikuwa na kutekwa yaliyoandaliwa na baadhi ya watanzania alishiriki!Kama ni kipenzi Cha watanzania?Ni kipenzi Cha baadhi ya wanaccm ingawa ni watanzania, FULL STOP.......yajayo yatakuduwaza na Mwashambwa!
Hatari hadi wa chekechea!kwa taarifa yako waTanzania wote zaidi ya milioni 50 ikiwa ni pamoja na wanafunzi wasomi wa ngazi zote tangu chekechea, wameshaamua tayari kwamba iwe jua au mvua ni Dr.samia Suluhu Hassan mpaka 2035π
Kwani kuna bakora kwa wasioenda?Hakuna ubaya kutembea kwa miguu,shida kulazimisha nyomi!
#Mama ANAUPIGA MWINGICCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi
CCM msiforce kupendwa.
Yes,Hatari hadi wa chekechea!
Wewe ndiye mjinga mjinga!CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na kusababisha usumbufu kwa wananchi
CCM msiforce kupendwa.
Watu wametoka wilaya ya kwimba wengiweka ushahidi