Mwanza: Watu 6 wafariki kwa kugongwa na gari wakifanya mazoezi

Mwanza: Watu 6 wafariki kwa kugongwa na gari wakifanya mazoezi

Pole kwao ila tokalini kando kando ya barabara ikawa sehemu ya mazoezi.
Huna hoja. Kukimbia kando ya barabara ni sawia na kutembea kando ya barabara. Ni kwa sababu Tanzania ni taifa la watu wapuuzaji na wajinga. Hakuna madereva bali waendesha vyombo vya moto. Usiniulize tofauti. Chukua hatua.
 
Dah,ila kufanyia mazoezi barabarani ni hatari sana wakati mwingine,nadhani serikali itoe melekezo kwa madereva na wafanya mazoezi,maana hii sasa imeshakuwa tabu...
Tatizo ni dereva atakuwa aliamka na pombe kichwqni hiyo asubuhi

Miaka yote michamkchaka hufanyika mbona hatuwahi ona kesi kubwa kama hiyo

Watu wanakimbia upande mmoja upande mwingine watu wanapita bila shida
 
Ruuh mimi na masela tunapasha kila siku road ya malimbe kuanzia Jeshini mpaka Saut chuoni ipo siku yetu tu gari litapita na sisi kmk tuuliwe kwasababu ile road walevi ni wengi

Hasa mimi naekimbiaga kama kichaa ipo siku gari litanivunja miguu kama sio kuniua...kuacha ndo siwezi
Na ile njia ilivyo finyu!

Pale SAUT viwanja vingi mno kuanzia Nsumba, Nganza, malimbe vipo vingi, hata hapo mwanzo nyegezi kona ukiwa unashuka kuna kiwanja kizuri tu mkono wa kulia. Better mjichimbie uwanjani kuliko kile kipisi cha barabara, kama vipi andikeni wosia kabisa.
 
Watu mnashindwa kuelewa anayekimbia hana tofauti na anayetembea. Zile kando ni sehemu ni za watembea kwa miguu. Wote wanafanya mijongeo.
Kuna suala la mtu kutembea au kukimbia upande usio wake, kuna suala la wembamba wa njia za watembea kwa miguu, kuna suala la sehemu za kona kali na namna ya kutembea sehemu za namna hiyo kwa mtembea kwa miguu/mkimbiaji.
Mwisho kabisa kwa upande wa suala la afya moshi wa magari ni hatari si tu kwa mfanya mazoezi bali hata mtembea kwa miguu. Nimewahi kueleza humu namna ya kufanya kujikinga na hewa chafu za moshi wa magari.
 
... na wengine akina mama ni sehemu mahususi za showoff jinsi "walivyojaaliwa".
Na huu ndo huwa ujinga wa kiwango cha juu kabisa kwa wadada! Wakivalia pedo zao zikabana makalio yao makubwa akili zao zinabaki kuwaza macho ya mabaharia tu na miluzi wanayopigiwa na vijana wavutabangi hasa bodaboda, hapo wanasahau kabisa kuwa israel yupo kwa nyuma anawapa escort
 
Ruuh mimi na masela tunapasha kila siku road ya malimbe kuanzia Jeshini mpaka Saut chuoni ipo siku yetu tu gari litapita na sisi kmk tuuliwe kwasababu ile road walevi ni wengi

Hasa mimi naekimbiaga kama kichaa ipo siku gari litanivunja miguu kama sio kuniua...kuacha ndo siwezi
Unapokimbia barabarani kimbilia upande ambao unayaface magari, kama unaenda saut inamaana kimbilia upande wa kulia wakati wa kurudi kimbilia upande wa kushoto
 
huku mburahati ndo tunaona sana hawa wapiga ngumi wakiongozana kundi barabarani..mbaya zaidi wanakimbia upande sawa na unaoelekea magari..walau wangeface upande wa kulia ambao utokao magari
Na hili wengi ndo wanakosea hata nikiwa barabarani natembea huwa napenda nitembee upande ambao nakuwa natizamana na magari yanavyokuja
 
Back
Top Bottom