Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hili ndio tatizo... na wengine akina mama ni sehemu mahususi za showoff jinsi "walivyojaaliwa".
Alafu asubuhi asubuhi wanatupigia kelele...Pole kwao ila tokalini kando kando ya barabara ikawa sehemu ya mazoezi.
Huna hoja. Kukimbia kando ya barabara ni sawia na kutembea kando ya barabara. Ni kwa sababu Tanzania ni taifa la watu wapuuzaji na wajinga. Hakuna madereva bali waendesha vyombo vya moto. Usiniulize tofauti. Chukua hatua.Pole kwao ila tokalini kando kando ya barabara ikawa sehemu ya mazoezi.
Tatizo ni dereva atakuwa aliamka na pombe kichwqni hiyo asubuhiDah,ila kufanyia mazoezi barabarani ni hatari sana wakati mwingine,nadhani serikali itoe melekezo kwa madereva na wafanya mazoezi,maana hii sasa imeshakuwa tabu...
Na ile njia ilivyo finyu!Ruuh mimi na masela tunapasha kila siku road ya malimbe kuanzia Jeshini mpaka Saut chuoni ipo siku yetu tu gari litapita na sisi kmk tuuliwe kwasababu ile road walevi ni wengi
Hasa mimi naekimbiaga kama kichaa ipo siku gari litanivunja miguu kama sio kuniua...kuacha ndo siwezi
Na huu ndo huwa ujinga wa kiwango cha juu kabisa kwa wadada! Wakivalia pedo zao zikabana makalio yao makubwa akili zao zinabaki kuwaza macho ya mabaharia tu na miluzi wanayopigiwa na vijana wavutabangi hasa bodaboda, hapo wanasahau kabisa kuwa israel yupo kwa nyuma anawapa escort... na wengine akina mama ni sehemu mahususi za showoff jinsi "walivyojaaliwa".
Mauzauza ni Kiseke A.....kuna wanga paleKuna dhana inasemwa kuwa sehemu kati ya Lumala shule na Mzambarauni kuna mauzauza, hilo nalo lisipuuzwe.
Unapokimbia barabarani kimbilia upande ambao unayaface magari, kama unaenda saut inamaana kimbilia upande wa kulia wakati wa kurudi kimbilia upande wa kushotoRuuh mimi na masela tunapasha kila siku road ya malimbe kuanzia Jeshini mpaka Saut chuoni ipo siku yetu tu gari litapita na sisi kmk tuuliwe kwasababu ile road walevi ni wengi
Hasa mimi naekimbiaga kama kichaa ipo siku gari litanivunja miguu kama sio kuniua...kuacha ndo siwezi
Chanzo cha ajali ni mwendokasi na Dereva kutozungatia Sheria na alama za barabarani.Pole kwao ila tokalini kando kando ya barabara ikawa sehemu ya mazoezi.
Nipo nae Dom kwa NBC Marathon 2023...una swali lingine mpwa?Yule mdada wa marathon mbalimbali kapona?
Na hili wengi ndo wanakosea hata nikiwa barabarani natembea huwa napenda nitembee upande ambao nakuwa natizamana na magari yanavyokujahuku mburahati ndo tunaona sana hawa wapiga ngumi wakiongozana kundi barabarani..mbaya zaidi wanakimbia upande sawa na unaoelekea magari..walau wangeface upande wa kulia ambao utokao magari
Na sababu za kifo ni ajali + kuwa eneo lisilo sahihi kwa wakati usio sahihiChanzo cha ajali ni mwendokasi na Dereva kutozungatia Sheria na alama za barabarani.
hili hata mimi huwa nashangaa kwa nini wasiende kwa viwanja waziPole kwao ila tokalini kando kando ya barabara ikawa sehemu ya mazoezi.
Wengine wanatafuta kuonekanahili hata mimi huwa nashangaa kwa nini wasiende kwa viwanja wazi