Nitapongezaje jeshi ambalo huiba kura na kuisaidia ccm ili kupata ushindi Kwa kuahidiwa tu vyeo uchwaraWe inaonekana ni ndugu yao unafaidika na huo ujambazi. Sijaona mtu wa hovyo km wewe. Wananchi wapige kelele baada ya kuingia kwa nguvu getini wakiwa na silaha bado badala upongeze jeshi unaandika huu utumbo?
Sheria ipi inawapa mamlaka polisi kutekeleza hukumu ya kifo kabla ya hukumu kusomwa?We ni aibu kwa Taifa
Polisi wanamsemo wao wa TII SHERIA BILA SHURTI.Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Naona Unaanza KurudUjambazi wa kuvamia majumba umerudi?
Ningekuwa Mimi ningepeleleza kwanza kama kweli ni jambazi na siyo kuambiwa tu yule jambazi na kupiga risasiPolisi wanamsemo wao wa TII SHERIA BILA SHURTI.
Jambazi kaambiwa jisalimishe tukukamate, hataki. Ungekuwa wewe ni Bwana polisi ungechukua hatua gani?
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Bilashaka we ni jambazi pia,ukamatwe haraka kkenge wewe.Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Hiyo siyo hukumu, hapo walienda kukamata.Sheria ipi inawapa mamlaka polisi kutekeleza hukumu ya kifo kabla ya hukumu kusomwa?
Jf imevamiwa na majambazi hakyamungu.Polisi hawana weledi wa kuthibitisha kuwa watuhumiwa ni majambazi... Most of stories ni fabrications kutoka kwao. Mafunzo ya polisi siku hizi ni kuua na siyo kuzuia na kudhibiti.
Ninawaombea kwa Mungu awapatilize kila askari na kizazi chake kwa kunyofoa roho za watu kila wanapotaka kufanya hivyo
Kwaiyo ingependeza kama story ingekuwa hao majambazi wameua polisi mmoja, eti?Sheria ipi inawapa mamlaka polisi kutekeleza hukumu ya kifo kabla ya hukumu kusomwa?
Kwahiyo ungeondoka kwenye tukio ukawaacha waende/waibe kisha uanze kupeleleza.Ningekuwa Mimi ningepeleleza kwanza kama kweli ni jambazi na siyo kuambiwa tu yule jambazi na kupiga risasi
Jeshi la Polisi kwa kiasi kikubwa Sana haliaminiki, watu Wana haki ya kutilia mashaka kuhusu taarifa zao wanazotoa kwa sababu nyingi ya taarifa hizo ni za kutengenezwa (fabricated news).Duuh!! Umarekani mwingi sana, maelezo hayo yanaridhisha kabisa kuwa walikuwa majambazi bado unalaumu jeshi la polisi. Watanzania tuna kasoro si bure
MariannaWapumzike kwa amani lakini kwann mtu kashika panga umpige risasi
Kha! Yan saa 2:45 usiku watu wamebeba bunduki, mapanga na bisibisi na tayari wameshaingia bila idhini ndani ya nyumba isiyo mali yao au makazi yao halafu ww bado unahitaji uthibitisho kwamba hao sio watu wazuri? i.e. ni majambazi. Vipi hao wababe wangekuwa wameingia kwako ungeliwachekea au kuwakaribisha chai sebuleni/mezani?Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Soma vizuri basi unaambiwa walikuwa wakijihami na shortgun na mapanga, hata kama kuna muda tunawachukia polisi ila wkt mwingne wanasaidia sn .Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Kwa hiyo unalinanga Jeshi hilo kwa tuhuma zisizo na uthibitisho? Mwizi si huwa anakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria au watu wenye "hasira kali" humalizana naye?Nitapongezaje jeshi ambalo huiba kura na kuisaidia ccm ili kupata ushindi Kwa kuahidiwa tu vyeo uchwara