Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

Soma vizuri basi unaambiwa walikuwa wakijihami na shortgun na mapanga, hata kama kuna muda tunawachukia polisi ila wkt mwingne wanasaidia sn .
Imagine hao ngiri wangefanikiwa ni damu ngapi za.wasio na hatia zingemwagika?
Huyo unayemjibu inaonekana hayajawahi kumkuta- anajisemea tu kana kwamba hao wawili (marehemu)walikuwa wanaingia kwa mchepuko wao kimasihara..
 
Kuwaamini Polisi ni sawa na kuamini kuwa "WORD YA WAZAZI KUNA MWENYE BIKRA".
Polisi ndio majambazi yenye weredi nchi hii.

Kiufupi,inatakiwa kuwe na taasisi nyingine ambayo itakuwa na wajibu wa kuhitaji kudhibitisha KAZI na matendo pia mwenendo wa Jeshi la Polisi Tz.

Lakini hili la wait kuwa ndo FINAL SAY.Haijakaa sawa.

Jamaa ndo wanyanyasaji wezi,vibaka majambazi na wachonganishi.
Nchi hii,hakuna raia mwenye kuweza kumiliki Silaha.
Tunajuana nje ndani mtaani huku.
 
Mbon
Kwa hiyo unalinanga Jeshi hilo kwa tuhuma zisizo na uthibitisho? Mwizi si huwa anakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria au watu wenye "hasira kali" humalizana naye?
Mbona wameua na hawajawakamata hao watu.

Shotgun ya kienyeji na SMG wali na wapi majambazi nyie
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Wamekataa kujisalimisha elewa hivyo au kiswahili hujui?
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Usiwe mgumu kuelewa, wanasema washukiwa maana hawakupelekwa mahakamani

Mahakama tu ndo Ina uwezo wa kuthibitisha kama mtu ana hatia au Hana

Hata ukiua hadharani Leo hii utaitwa mshukiwa tu(suspect) mpaka pale mahakama ikuhukumu
 
Jambazi hana haki ya kuishi, usipomuua atakuua.
 
I can imagine unaandika haya huku unakuna kijitambi chako kilichosababishwa na povu la bia!
 
Safiii,.. Kazi nzuri
 
Ningekuwa Mimi ningepeleleza kwanza kama kweli ni jambazi na siyo kuambiwa tu yule jambazi na kupiga risasi
🤣🤣 kwamba ungeanza kuendesha upelelezi katikati ya ambush ya majambazi wenye silaha ya moto na mapanga kwenye gate la raia?
 
It’s obvious hujasoma habari yenyewe lakini uko Tayari sana kuweka maoni yako based on your political biases!

Hii habari wewe umeipataje bila waandishi wa habari?

Wito wa polisi kufika eneo la tukio wakati tukio likiendelea umetoka wapi kama sio kwa wananchi?
 
Kuwaamini Polisi ni sawa na kuamini kuwa "WORD YA WAZAZI KUNA MWENYE BIKRA".
Polisi ndio majambazi yenye weredi nchi hii.
Uko beer ya ngapi?

Kiufupi,inatakiwa kuwe na taasisi nyingine ambayo itakuwa na wajibu wa kuhitaji kudhibitisha KAZI na matendo pia mwenendo wa Jeshi la Polisi Tz.
Umeanza mapema sana, hakikisha unakunywa maji kwa wingi pia.

Lakini hili la wait kuwa ndo FINAL SAY.Haijakaa sawa.

Jamaa ndo wanyanyasaji wezi,vibaka majambazi na wachonganishi.
Nchi hii,hakuna raia mwenye kuweza kumiliki Silaha.
🤣
Tunajuana nje ndani mtaani huku.
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Wewe utakuwa ni mhalifu mzoefu yaani wamekamatwa na bunduki na mapanga bado wananchi wametoa taarifa ya uhalifu huo, wewe bado unatetea hayo majambazi!! Wakutafute na wewe wakupige risasi ya kichwa huna faida duniani.
 
Wewe utakuwa punguwani huna akili kabisa yaani ulitaka waite waandishi wa habari usiku kwenye eneo la tukio!!? Kwani wananchi waliokuwa pale kwenye tukio umeenda kuwahoji wakasema siyo kweli? Nenda kachukue mizoga ya ndugu zako majambazi hapo Bugando.
 
Dawa ya majambazi ni kuyaua tu hakuna namna. Dawa ya moto ni moto.
hakuna huruma kwa jambazi yeyote.
 
Mbon

Mbona wameua na hawajawakamata hao watu.
Watu hao walikuja kwa lengo gani wakiwa wamejizatiti kwa silaha ya moto? Risasi ni risani tu na haijalishi imetoka kwenye shortgun au smg. Inajeruhi au kuua. Kwa hiyo walipewa majibu mubashara.
Shotgun ya kienyeji na SMG wali na wapi majambazi nyie
Mkuu vp?; Ulitaka nao Polisi warudi kituoni kuchukua shotgun ya kienyeji ili ngoma iwe fair game? Cjui bisibisi na mapanga wangeyapata wapi usiku huo aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…