Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

Dawa ya majambazi ni kuyaua tu hakuna namna. Dawa ya moto ni moto.
hakuna huruma kwa jambazi yeyote.
Exactly yes. Mbona na yeye jambazi huwaga hana huruma wala cha mswalie mtume.
 
Hilo lililojiri hapo kwenye eneo la tukio ni Tangazo tosha.
 
Wewe utakuwa ni mhalifu mzoefu yaani wamekamatwa na bunduki na mapanga bado wananchi wametoa taarifa ya uhalifu huo, wewe bado unatetea hayo majambazi!! Wakutafute na wewe wakupige risasi ya kichwa huna faida duniani.
Huyo uliyemjibu naona ni wale aina ya watu ambao akimfuma mwizi ndani ya nyumba yake, anaanza kwa kumuuliza eti "Wewe unaitwa nani?"
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Wewe pia ni sehemu ya hao wanawake dume wa madela, unataka tukutetee!
 
Wa south africa walikuwa na mawazo kama yako zamani,wezi wakachukuliwa kwa upole na kwa kuzingatia haki za binaadamu, leo crime rate ya SA ni uncontrollable, wakina Hellen Zille wanapiga kelele kuhusu haki za binaadamu watu wanawaona kama wehu tu, there is no peace in midst of war, grab that.
 
Kwa kuwa majambazi walikuwa wamevalia mavazi ya kike ilitakiwa polisi wawatongoze kwanza
 
Mkuu utatetea sana,lakini ukwel unabaki palepale.
Jeshi la hovyo sana,wamekalia siasa TU.
Propaganda tu ndo kazi zao.
 
Nina ndugu ambaye ni polisi ananielezea maana ya polisi kupambana na majambazi.

Karibia marehemu wote wana majeraha ya risasi kutokea nyuma.

Usidhani sijui ninachokiongea
 
Msidhani maovu mnayoyafanya yana usiri mkubwa.
Hao walio chini ya amri huwa hawana amri ya kufunga midomo yao
Like a said; “You are a Simple Clout Chaser”!

Sasa imagine unarukia rukia watu hovyo Kama inzi wa chooni?!?

“Msidhani “? Mimi na akina nani?
 
Ningekuwa Mimi ningepeleleza kwanza kama kweli ni jambazi na siyo kuambiwa tu yule jambazi na kupiga risasi
WEWE NI MPUMBAVU.

KWAHIYO UNGEFIKA KWENYE TUKIO,UKAWAAMBIA MAJAMBAZI WAJISALIMISHE,WAKAKATAA,HALAFU UNGEPELELEZA HAPOHAPO KWENYE TUKIO HUKU WAKIWA WAMEKATAA KUJISALIMISHA?

HIVI UNACHOBISHA NI NINI HAPA?
 
WEWE NI MPUMBAVU.

KWAHIYO UNGEFIKA KWENYE TUKIO,UKAWAAMBIA MAJAMBAZI WAJISALIMISHE,WAKAKATAA,HALAFU UNGEPELELEZA HAPOHAPO KWENYE TUKIO HUKU WAKIWA WAMEKATAA KUJISALIMISHA?

HIVI UNACHOBISHA NI NINI HAPA?
Huo mstari wa kwanza kabisa hapo juu ndo saizi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…