Mfungwa hachagui gereza. Soma maelezo yaliyotolew vizuri. Walikuwa na Shortgun (bunduki) na waliji-camouflage kwa kuvaa madera. Huoni hao Ni aina ya HAMAS?Wapumzike kwa amani lakini kwann mtu kashika panga umpige risasi
WEWE UNA KICHWA CHA KUKU.Wewe ni lijinga kabisa.
Soma vizuriYaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Wenyeji wa huko wanasema ni majambazi wewe unapinga ni mzima kweli wewe au na wewe ni jambazi yaan wabongo kwa ujuaji kila kitu unajuaYaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Mbona Flora mwenyewe alielezea kwa urefu tu hii habari?Wapumzike kwa amani lakini kwann mtu kashika panga umpige risasi
Hayo Maelezo Nani Ameyatoa?Duuh!! Umarekani mwingi sana, maelezo hayo yanaridhisha kabisa kuwa walikuwa majambazi bado unalaumu jeshi la polisi. Watanzania tuna kasoro si bure
Ulikuwepo?Si Ndo Polisi Hao hao Wakikamata Machadema Mnawaona Polisi Waongo Na Maelezo Wanayowapa Mnaona ya Mchongo Ila Hapa Leo Mnawatetea Kwa Hayo Maelezo .Nb: Nachukia Ujambazi Nawachukia Baadhi Ya Polisi .We inaonekana ni ndugu yao unafaidika na huo ujambazi. Sijaona mtu wa hovyo km wewe. Wananchi wapige kelele baada ya kuingia kwa nguvu getini wakiwa na silaha bado badala upongeze jeshi unaandika huu utumbo?
Wewe ni kati ya wale wawili waliotoroka na pikipiki bila shaka. Mmekutwa nyumbani kwa mtu usiku,mna bunduki na mapanga,mnatishia kuwadhuru wenye nyumba na polisi na sio majambazi?Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Wewe umeshaambiwa ni wanaume wamevaa nguo za kike pamoja na bunduki na mapanga. Wewe unataka ushahidi gani mwingine? Au unapenda kulalamikia police kama wafanyavyo wamarekani ukidhani ni fashion?Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Hivi nyie viumbe huwa mnaona hata maandishi kweli?Wapumzike kwa amani lakini kwann mtu kashika panga umpige risasi
Wewe kichwa hata polisi ni watu wenye haki ya kuishi na kujitetea vilevile. Humu either kuna mijambazi inateteana au ni kithibitisho kwanini CCM ipo madarakani.Sasa jeshi la polisi litaua wangapi,ujue ukimkamata mshukiwa Kwanza inakurahisishia kiupelelezi,wanaweza kutajanq na kusaidia kupata zaidi ile chain ya hao Criminals.
Pia kila binadamu ana haki ya kuishi kikatiba,iweje jeshi liue?
Tuna watu waoga Sana kwenye majeshi yetu wasio na uwezo wa kuarrest mtu,yeye wepesi wake ni kuua tu
HAHAHAHA!!!Sheria ipi inawapa mamlaka polisi kutekeleza hukumu ya kifo kabla ya hukumu kusomwa?
Hey! JUST SHUT-UP!Jeshi la Polisi kwa kiasi kikubwa Sana haliaminiki, watu Wana haki ya kutilia mashaka kuhusu taarifa zao wanazotoa kwa sababu nyingi ya taarifa hizo ni za kutengenezwa (fabricated news).
Baada ya kuuawa hao Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi, Askari Polisi waliotekeleza tukio hilo walipaswa kuwaita watu(majirani) pamoja na Waandishi wa Habari muda huo huo ili kuuthibitishia umma juu ya kutoa ushiriiiano wa kutoa taarifa za Wahalifu kwa Jeshi hilo la Polisi kwa lengo la kudhibiti matukio ya Uhalifu Kama hayo yaliyopelekea vifo vya watu hao Watuhumiwa. Kitendo hicho kingesaidia kusababisha Watu/Wananchi pole pole kuanza tena upya kuliamini Jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi wao, pia Kitendo hiki kingesaidia kujenga public awareness juu ya UMUHIMU na wajibu wa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kutokomeza uhalifu na wahalifu.
Watu wengi Sana wamepoteza kabisa imani dhidi ya Jeshi la Polisi.
Kama wamekutwa na bunduki basi tuwapongeze kidogo polisi japo kuwa wanapenda sana rushwa.Wewe ni kati ya wale wawili waliotoroka na pikipiki bila shaka. Mmekutwa nyumbani kwa mtu usiku,mna bunduki na mapanga,mnatishia kuwadhuru wenye nyumba na polisi na sio majambazi?
A joke😡HAHAHAHA!!!
SERIOUSLY???
Ku-comment ni zaidi ya kujua kusoma na kuandika,..ona huyu sasaYaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Sasa utamkamataje mtu Alie na bunduki kweli au ndo ile ilimradi tu kulaumu.Sasa jeshi la polisi litaua wangapi,ujue ukimkamata mshukiwa Kwanza inakurahisishia kiupelelezi,wanaweza kutajanq na kusaidia kupata zaidi ile chain ya hao Criminals.
Pia kila binadamu ana haki ya kuishi kikatiba,iweje jeshi liue?
Tuna watu waoga Sana kwenye majeshi yetu wasio na uwezo wa kuarrest mtu,yeye wepesi wake ni kuua tu