Mwanza: Yaliyojiri kwenye kuaga mwili wa Hayati Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

kama wameamua kuenda mwendo mkali hakuna mantiki yoyote ya kurusha mubashara namna wanavyouburuza mwili wa ndugu yetu.
 
Hivi hawa wanaovuka barabara ghafla gari za msafara zinapokaribia wanakuwa wanatafuta nini. Watz tupo kama mang'ombe
 
Hawa watu wapuuzi kweli wanavyokwenda speed kama wapo kwenye mashindano ya Formula 1
 
kama wameamua kuenda mwendo mkali hakuna mantiki yoyote ya kurusha mubashara namna wanavyouburuza mwili wa ndugu yetu.
Hata mm naona wanaenda fast sana jaman ..ila wamewakosea sana wakazi wa Mwanza aise
 
Tena Risit ya Efd....Mwamba kalale Kwa Amani!!
 
Mwanza pamesimama tangu usiku wa leo.

Kuna jambo la kujifunza hapa kwa watawala na viongozi. Fanya kazi za wananchi wote utakubalika.
 
Hapo kati hajaweka kile kibwagizo chake cha "hiiiiiiii hiiiiiii"...
 
Hivi mwili wa mwanadamu unawezastahimili ile dawa ya kutokuharibika kwa muda gani?
Mie babu alivyodead alichomwa hapo sindano hom ila dk akasema asiguswe ngoz..akasema dawa inakaa 4dys...hatukumgusa kbs ..akakaa 4dys
 
Reactions: Mj1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…