Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Binafsi huwa siangalii wingi wa watu bali nguvu za hoja masikioni mwangu na utekelezaji field fursa inapopatikana...., lakini SADLY am seeing none from both sides of the aisle
Mnajifariji vizuri sana!
 
Hapo vipi?
Hakuna kitu video hiyo imechukuliwa kwa mbele karibu. Cheki hizi hapa utaelewa.

Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.
 
Wafuasi wa chadwma wengi ni wanyonge, lakini cha ajabu viongozi wao walimpinga rais aliyetetea kundi hilo lenye idadi kubwa ya wafuasi wao.

Ukitaka kujua ukweli angalia wakati wa kampeni, ccm wana magari ya kifahari lakini cdm wanateambe zao kwa miguu huku wakiwa na matumaini ya kuwatawala wenye hayo mav8! 😀😀Wangejua ....
 
Tulioko Mwanza muda huu tutashuhudia kuchokwa na kufubaa kwa CHADEMA. Mkutano wao hauna watu wengi kama walivyodhani.

Yani hawajafanya mikutano baada ya miaka 7 halafu watu ndo wachache hivi? CHADEMA INAKUFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…