Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Upumbavu wako ni kero kwa jamii!

Magufuli ni shetani na yuko kuzimu anaungua!
 
Ukitaka kujua JF ni pro CHADEMA, angalia walivyoruhusu threads nyingi zinazozungumzia kitu kilekile, mkutano wa CHADEMA mwanza!
 
Hivi tetesi za mwenyekiti kutupia maji leo ni kweli au uzushi
 
Wakikujibu unishitue mkuu wangu
Hakuna wakunijibu kwa sababu ushahidi ninao. Uzuri wa dunia ya leo mambo mengi hayafichiki kama zamani.

Usiku unabeba watu ndani ya malori, mabasi na boda boda, kesho asubuhi watu wanapata taarifa kupitia wale wale waliobebwa ndani ya malori.
 
Wadau ni wazi tumechoka siasa za mbowe kujifanya anawanyenyekea CCM.Ni wakati muafaka kupata mkuu mpya mwenye spidi.Mtu anashindwa kueleza malengo na Sera za chama anaanza siasa za uchawa!!Hizi habari za Samia asidhubutu kutwambia ata kama ametumwa ni haki yetu kufanya mikutano sio kwa fadhira za sa100 .Mbowe ukome kutuita mkutanoni na kutushushia Pumba.Waachie vijana kama
1.Msigwa
2.Heche
3.Lema
4.Tundu
Nawasilisha
Cc spika bunge la wananchii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…