Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Endeleeni kupambana na Magufuli wakati yeye hayupo wala Sio mgombea tena,Mbowe kawekwa rocap na Samia tena kwa kesi ya ugaidi,shangaa lawama zinarudishwa kwa Magufuli kisa baada ya Mbowe kutolewa jela kaitwa lkuru kapewa chai.Chadema haiwezi kuinuka kwa kumsimanga Magufuli, Chadema itainuka kwa agenda na sera safi za kumtetea mwananchi.Kwanza huko vijijini ukisema vibaya Magufuli ndio unajichimbia kabuli kabisa.
Upumbavu wako ni kero kwa jamii!

Magufuli ni shetani na yuko kuzimu anaungua!
 
Ukitaka kujua JF ni pro CHADEMA, angalia walivyoruhusu threads nyingi zinazozungumzia kitu kilekile, mkutano wa CHADEMA mwanza!
 
Hivi tetesi za mwenyekiti kutupia maji leo ni kweli au uzushi
 
Wadau ni wazi tumechoka siasa za mbowe kujifanya anawanyenyekea CCM.Ni wakati muafaka kupata mkuu mpya mwenye spidi.Mtu anashindwa kueleza malengo na Sera za chama anaanza siasa za uchawa!!Hizi habari za Samia asidhubutu kutwambia ata kama ametumwa ni haki yetu kufanya mikutano sio kwa fadhira za sa100 .Mbowe ukome kutuita mkutanoni na kutushushia Pumba.Waachie vijana kama
1.Msigwa
2.Heche
3.Lema
4.Tundu
Nawasilisha
Cc spika bunge la wananchii.
 
Back
Top Bottom