Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Pale ni aliteleza tuu ulimi!. Usifanye kabisa mzaha na mambo ya kulamba asali, utamu wa asali unalegeza hadi ulimi unateleza!.
P
 
Kaka mbona unatuhukumu kua tuna roho mbaya wana CCM ????Nini tatizo kaka?????Karibu ujiunge na chsma afu uone kama tuna roho nzuri au mbaya!!!
 
Kaka mbona unatuhukumu kua tuna roho mbaya wana CCM ????Nini tatizo kaka?????Karibu ujiunge na chsma afu uone kama tuna roho nzuri au mbaya!!!Karibu
 
Chadema ilisha kufaga kitaaambo! Hapa sshv wamefufua jina tu na lipo kimkakati tu! Inaonekana kuna vitu vinakwama kwa mabeberu bila kua na picha inyoonesha nchi ni ya vyama vingi na vipo active[emoji848] A! Mawazo yangu tu mabovu
 
Unatafuta bwana asubuhi hiii yote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…