Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Ww jamaa hujitambui kwan chademi ni yakwako

Unajua chadema iliko toka ebu unajua historia yake alichosema mwenyekiti ndo msimamo wa chama sasa km ww unapiga bas tafta pakwenda kulilia ila sio Chadema
 
Uchochezi....
 
Kamanda gani wewe, Chadema haina kamanda mwenye tako kubwa...
 
Kaka mbona unatuhukumu kua tuna roho mbaya wana CCM ????Nini tatizo kaka?????Karibu ujiunge na chsma afu uone kama tuna roho nzuri au mbaya!!!
hicho si chama ni kundi la majasusi linalopora rasilimali za wananchi.hali ya maisha sasa hivi ni tete.wananchi hawajui kesho itakuwaje?watakula au watalala njaa?kujiunga na hilo kundi ni kuwasaliti wananchi na ni dhihaka kubwa.
 
Bora umemchana live
 
Mkuu umesahau ile dhana ya kuunga mkono juhudi? Baada ya wale makamanda wengine waliunga mkono ile awamu ya 5 sasa ni zamu ya Mh. Mwenyekiti kuunga mkono awamu ya 6 kwani shida iko wapi? Mwenyekiti alipokaa jela miaka 2 hakuna hata mmoja wenu alieenda kumsaidia kukaa mahabusu badala yake mliendelea kulala nyumbani kwenu na wake zenu leo hii mnamchukia Mwenyekiti kwa kuunga mkono juhudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…