Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Kwahiyo ushauri wako ni upi?
Unakumbuka kilichotokea baada ya Maalim kukutanishwa na Hussein chato na kufanya maridhiano?

CCM waliheshimu maridhiano?

Nini kilitokea baada ya hapo? Unaporidhiana mezani na dude linaloitwa CCM macho yote yawe yanaona.😳😳😳😳😳😳
 
Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.

Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Mheshimiwa Molemo mimi na washikaji wenzangu tumo hewani tukifatilia kinachojiri.

Wacha ikae hivyo hivyo.
 
Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.

Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Tengua kauli...kwa utafiti upi mbowe ni kipenzi cha kanda ya ziwaπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…