Unakumbuka kilichotokea baada ya Maalim kukutanishwa na Hussein chato na kufanya maridhiano?Kwahiyo ushauri wako ni upi?
CCM waliheshimu maridhiano?
Nini kilitokea baada ya hapo? Unaporidhiana mezani na dude linaloitwa CCM macho yote yawe yanaona.😳😳😳😳😳😳