Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Chadema Li Kitu LIKUBWA!!!Mtiti umemkera [emoji23][emoji23]View attachment 2490340
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema Li Kitu LIKUBWA!!!Mtiti umemkera [emoji23][emoji23]View attachment 2490340
Imekuuma au ... Bila shaka ww ni sukuma gangYaani huwezi kuamini nimesafili nimevuka Mikoa minne kuja mwanza kuisapoti Chadema kumbe nao ni walamba asali tupu.
Yaani mbowe Leo hii ni wakuwaambia wana chadema tuiunge mkono CCM?
Sasa yanini kuwa mpinzani km mwenyekiti tayari amekubali mama anaupiga mwingi
Unamtangazia kurudi ccm au kuhamia ccm?Baaada ya zuio la muda mrefu kufanya mikutano ya hadhara, Leo umefanyika mkutano wa Chadema ila nilifikiria hawa jamaa wangekuja na sera mbadala lakini leo ndio wameniangusha kuliko wakati wote.
Natangaza rasmi kuhamia CCM.
Mmmammaee mnaumiaje.....teh teh Chadema hatunaga kazi ndogo.....Yaani huwezi kuamini nimesafili nimevuka Mikoa minne kuja mwanza kuisapoti Chadema kumbe nao ni walamba asali tupu.
Yaani mbowe Leo hii ni wakuwaambia wana chadema tuiunge mkono CCM?
Sasa yanini kuwa mpinzani km mwenyekiti tayari amekubali mama anaupiga mwingi
Sukuma gang inawauma maana hamkutarajia kuwa uwanja wa furahisha ungeitika vile ...poleni sanaHamna kitu hapo. Kushinei
Mkuu hivi mbowe ni wakuongea hotuba nzima kuisifia CCM? Daki 53 zote anamsifia tu..Leo wamejitahidi hapakuwa na kujadili watu.
Subiri wahamie kanda isiyofungamana na yule!
Mbangi zikikutoka kichwani uje tujadiliane. Sasa hivi bangi zinaongea kichwani mwako. Tunawajua nyie vijana mkizipiga hizo bangi zenu chooni hamuambiliki na kuanza kutukana marehemu.
Picha mbili za juu ni thread zenye maudhui moja ya mkutano wa Mwanza, lakn kwa vile zimeandikwa kwa lengo la kukisifu chama au mwenye chama basi zimeachwa zijitegemee.Mimi naipinga Chadema lakini moderator wako fair
Hahahaha. Utajua hujui. Mbowe kabeba vijana kutoka ArushaNaona wasukuma wamegoma kutii utashi wako, wamejitokeza kwa wingi.
Matokeo ya thread hiiSijajua unaongelea matokeo yapi
Safari njemaBaaada ya zuio la muda mrefu kufanya mikutano ya hadhara, Leo umefanyika mkutano wa Chadema ila nilifikiria hawa jamaa wangekuja na sera mbadala lakini leo ndio wameniangusha kuliko wakati wote.
Natangaza rasmi kuhamia CCM.
Utamlilia sana lakini ujane uko pale pale!Mbowe lazima achanganyikiwe, Chadema ilikuwa inabebwa na hoja za Slaa za ufisadi, Sasahivi mikutano ya Chadema itazidiwa na mikutano ya wapiga debe,tena wakiendelea kumtukana Magufuli ndio kabisa, mikutano itawadodea,akuna mtu aliyekuwa anapenda haki hakamchukia Magufuli,labda walanguzi wa madawa ya kulevya,wala rushwa na veti feki watu wa shortcut mafisadi ndio waliokuwa na bifu na Magufuli, lakini Machinga Mama nitirie,na watu wa chini walikuwa pamoja na Magufuli.
Wajane utawajua tu!Hahahaha. Utajua hujui. Mbowe kabeba vijana kutoka Arusha
View attachment 2490348
Hakuna chochote wanaongelea Vita ya UkraineMliopo majumbani mnaweza kuangalia Aljazeera English service wapo live hapa mwanza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1] safari njema mkuu. Ila fikiria mara mbili hayo maamuziBaada kusikia hotuba za viongozi natangaza rasmi kuhamia CHADEMA
Nimo uwanjani hapa baadhi ya wananchi wamekesha
Huwa sijadiliani na wavuta bangi mimi.Wajane utawajua tu!