Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Yaani huwezi kuamini nimesafili nimevuka Mikoa minne kuja mwanza kuisapoti Chadema kumbe nao ni walamba asali tupu.
Yaani mbowe Leo hii ni wakuwaambia wana chadema tuiunge mkono CCM?

Sasa yanini kuwa mpinzani km mwenyekiti tayari amekubali mama anaupiga mwingi
Imekuuma au ... Bila shaka ww ni sukuma gang
 
Baaada ya zuio la muda mrefu kufanya mikutano ya hadhara, Leo umefanyika mkutano wa Chadema ila nilifikiria hawa jamaa wangekuja na sera mbadala lakini leo ndio wameniangusha kuliko wakati wote.

Natangaza rasmi kuhamia CCM.
Unamtangazia kurudi ccm au kuhamia ccm?
 
Yaani huwezi kuamini nimesafili nimevuka Mikoa minne kuja mwanza kuisapoti Chadema kumbe nao ni walamba asali tupu.
Yaani mbowe Leo hii ni wakuwaambia wana chadema tuiunge mkono CCM?

Sasa yanini kuwa mpinzani km mwenyekiti tayari amekubali mama anaupiga mwingi
Mmmammaee mnaumiaje.....teh teh Chadema hatunaga kazi ndogo.....
 
Leo wamejitahidi hapakuwa na kujadili watu.

Subiri wahamie kanda isiyofungamana na yule!
Mkuu hivi mbowe ni wakuongea hotuba nzima kuisifia CCM? Daki 53 zote anamsifia tu..
Aisee Bora namimi nihamie huku CCM maana nimepoteza rasilimali zangu nyingi kuipigania Chadema ila Leo nimetangaza rasmi kuachana nayo
 
Mbangi zikikutoka kichwani uje tujadiliane. Sasa hivi bangi zinaongea kichwani mwako. Tunawajua nyie vijana mkizipiga hizo bangi zenu chooni hamuambiliki na kuanza kutukana marehemu.

Naona wasukuma wamegoma kutii utashi wako, wamejitokeza kwa wingi.
 
Mimi naipinga Chadema lakini moderator wako fair
Picha mbili za juu ni thread zenye maudhui moja ya mkutano wa Mwanza, lakn kwa vile zimeandikwa kwa lengo la kukisifu chama au mwenye chama basi zimeachwa zijitegemee.

Hapo chini napo ni picha za wale waliokuwa wanaandika yale ambayo moderators na wanachadema hawakutana kuyaona, ndomaana thread zao zikaunganishwa huko ili zipotelee huko zisipate wasomaji. Haya mambo tunayajua sana. Mimi mwenyew thread yangu imefutwa dakika 20 iliyopita kisa ilionesha kuwa chadema ilikusanya watu mbali mbali kutoka maeneo mbali mbali ya nje ya mkoa wa Mwanza.
 
Naona wasukuma wamegoma kutii utashi wako, wamejitokeza kwa wingi.
Hahahaha. Utajua hujui. Mbowe kabeba vijana kutoka Arusha
20230121_162517.jpg
 
Baada kusikilizaa hotuba za viongozi natangaza rasmi kuhamia CHADEMA
 
Baaada ya zuio la muda mrefu kufanya mikutano ya hadhara, Leo umefanyika mkutano wa Chadema ila nilifikiria hawa jamaa wangekuja na sera mbadala lakini leo ndio wameniangusha kuliko wakati wote.

Natangaza rasmi kuhamia CCM.
Safari njema
 
Mbowe lazima achanganyikiwe, Chadema ilikuwa inabebwa na hoja za Slaa za ufisadi, Sasahivi mikutano ya Chadema itazidiwa na mikutano ya wapiga debe,tena wakiendelea kumtukana Magufuli ndio kabisa, mikutano itawadodea,akuna mtu aliyekuwa anapenda haki hakamchukia Magufuli,labda walanguzi wa madawa ya kulevya,wala rushwa na veti feki watu wa shortcut mafisadi ndio waliokuwa na bifu na Magufuli, lakini Machinga Mama nitirie,na watu wa chini walikuwa pamoja na Magufuli.
Utamlilia sana lakini ujane uko pale pale!
 
Mliopo majumbani mnaweza kuangalia Aljazeera English service wapo live hapa mwanza.
 
Naona Mbowe kaenda kujitetea dhidi ya tuhuma za kurambishwa asali katumia muda mrefu kuwananga chadema kuwananga wananchi wanaomsema hajatoa hoja yyt ya msingi nadhan CDM inamsubiri ni YEYE zaidi kuliko Mbowe 😁😁😁😁 ni muda wa Mbowe kumuachia chama Heche akivushe mwenyekiti katuangusha Sana leo bora angepata udhuru
 
Back
Top Bottom