Tatizo liko wapi mdogo ake dada angu, kila jambo ni mpangilio tu.Hiyo meza unayotingisha ina vinywaji vya gharama ๐น๐น๐น
Yaani haya mambo haya, Mwamba alikuwa hana pace ya kupiga lile tandamu ๐คฃ๐คฃ๐คฃNani kazingua bababa junior?
Nimeisha achana nae, nimuache mara ngapi, baba yangu mpaka ameugua sukari kwa sababu ya stress zilizosababishwa Na mwanamke...wewe unadhani Mimi ni mpumbavu sioni, Na kwa taarifa yako Nina maendeleo kuliko marafiki zangu walioowa, yaani jamaa Wana maisha magumu hata kununua kiatu kipya ni changamoto eti anatunza familia๐ค๐ค....pesa yangu Mimi Haina mambo mengi Na hapa nipo najichanga mwakani nifungue carwash standard, Na garage itakayokuwa na compressor zisizopungua tatu kandokando mwa barabara ya shinyanga.......kuowa kwa zama hizi ni usengerema, zalisha mwanamke mpe matumizi Aishi anapojua tusifatane Na kumbikumbi..upo nyonyo,๐ค๐คAkili akili akiliii.
Huna akili Wachana. Na mwanamkee
Manyanza nipumzishe kwanza tuataongea siku nyingine ๐น๐นTatizo liko wapi mdogo ake dada angu, kila jambo ni mpangilio tu.
Mwanaume hana mtetezi katika hii dunia ni bora kujihami kabla ya hatari, maana yakikukuta huna pa kukimbilia wala mtu wa kukupigania.Wanaume wa sasa hivi wamekua waoga waoga tu sijui hata wamekutwa na nini. Kila kitu inawasi wasi.๐๐
WoteNani kazingua bababa junior?
Ndo huyo kumbe yule mtt sio wa niki na Demu alishaolewa.Nikki wa pili ni yule DC ?
Duuh waombewe haoWote
Mapya sasa hayaNdo huyo kumbe yule mtt sio wa niki na Demu alishaolewa.
Yani watu wanaacha kuongelea maisha yao unaweza kukuta wanalelewa na baba sio wao kabisaa ila wako busy kufatilia maisha ya watuโฆ ๐น๐น๐นAcheni kumbully huyu kaka, walishindwqna wakaachana,let it be history.
Usiogope Mdogo ake Dada angu , sema umefikiria kishetani Shetani aisee ๐คฃ๐คฃ๐คฃManyanza nipumzishe kwanza tuataongea siku nyingine ๐น๐น
Shem za jioniWanaume wa sasa hivi wamekua waoga waoga tu sijui hata wamekutwa na nini. Kila kitu inawasi wasi.๐๐
Mhmm.!! ๐น๐น๐นNdo huyo kumbe yule mtt sio wa niki na Demu alishaolewa.
Nna ban leo niache kwanza ๐น๐นUsiogope Mdogo ake Dada angu , sema umefikiria kishetani Shetani aisee ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Alimcheat na pia yule mtt kachek DNA sio wake na Demu kashaolewa na ada ya CPA alimlipia.Acheni kumbully huyu kaka, walishindwqna wakaachana,let it be history.
Hiyo mimba ni ya mume mpya.kwan saiv unaona picha picha za kumsifia.Mhmm.!! ๐น๐น๐น
Ila wabongo mmenishinda
Wapo pamoja na mkewe ana mimba nyingine soon wanapata mtoto wa pili..
Ila wewe hizi habari umezitoa wapi? ๐น๐น๐นAlimcheat na pia yule mtt kachek DNA sio wake na Demu kashaolewa na ada ya CPA alimlipia.