Mwanzoni mtaishi kwa amani sana. Akishapata pesa tu amani inatoweka

Kwanza mkuu nikupongeze kwa kuwa umeweka akili na nguvu yako kwenye maendeleo zaidi.

Pili nataka nikwambie pia sio wanawake wote ni wabaya ila wewe uma athirika na historia inayotokana na madhara aliyopata baba yako kutokana na Wanawake...
Usiogope. Jenga maisha kwanza then tafute kogoli upumzishw nafsi.

Nakuombea Insha Allah
 
Ila wewe hizi habari umezitoa wapi? 😹😹😹
Yule mtoto bila DNA ni wa kwake jamani mtavunja ndoa za watu… mengine yawapite
Lamomy nakushusha nyota hii habari ili trend sana.DNA ilipimwa ni mtt wa mwanaume aliyeolewa nae saiv na ana mimba ya pili.niki alikuwa anasomesha tu,alipomaliza CPA akapata GPA kubwa akapata kazi sehemu nzr.niki akapigwa na kitu chenye ncha Kali utosini.
 
Wapo pia wenzako wenye ushuhuda mambo Yao yalinyooka zaidi ya walivyokuwa baada ya kupata support ya mchango wa ubavu wake. Kwahiyo hili gazeti lako na ushuhuda wa hapa na pale katafute pakulisomeshea.
 
Ndio maana hali ya hewa imetulia.

Wanawake hawapendi wanaume dhaifu nyie mnawaita Good Boys.
Alipigwa na kitu Kizito sana,mtt si wake kasomesha CPA na Demu baad ya kuachana kaolewa na baba wa mtt.

Nikii alikuwa mshauri wa mahusiano kipindi anafinyiwa kwa ndani kumbe analegezwa alipe ada 😊.
 
Kuwa kichwa Cha familia kuna gharama zake πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Mwanaume mwenye sifa hizi unazozitaka inabidi umuumbe wewe, yaani nikupige mashine usiku kucha huku nikikufyokoa madole kwenye mnduku, nikupe pesa Bila kikomo, Na tena niwe Na mvuto utaweza wapi haya yote
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ombi lako lilingia dosari baada ya kusema huna doo. Niite Mistress Fake P tu
🀣🀣🀣 Daah haya bana ila wanawake Mungu anawaona πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Sasa mbona bado Nikk yupo na mtoto wake??
Em lete pic ya mume mpya mmbea mwenzangu, hii ilinipita awweeh 😹😹😹
 
Kwa sasa mpaka mikia inapambana kwa nguvu sana kuwa vichwa 😁😁
Kwa sababu the so called vichwa zimekula u turn na speed ya 180. Woman on top for life sijui utabielewaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa mbona bado Nikk yupo na mtoto wake??
Em lete pic ya mume mpya mmbea mwenzangu, hii ilinipita awweeh 😹😹😹
Picha sina alibaki na mtt baada ya kupima DNA ni mtt wa msela.
 
Alipigwa na kitu Kizito sana,mtt si wake kasomesha CPA na Demu baad ya kuachana kaolewa na baba wa mtt.

Nikii alikuwa mshauri wa mahusiano kipindi anafinyiwa kwa ndani kumbe analegezwa alipe ada 😊.
😹😹😹😹 ila wambea mnajitahidi, bana em leta pic mambo kwa ushahidi hapa..!
 
Kwa sababu the so called vichwa zimekula u turn na speed ya 180. Woman on top for life sijui utabielewaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
50/50 inavunja vichwa na mikia. Sijui vitabaki viwiliwili tu😏
 
Picha sina alibaki na mtt baada ya kupima DNA ni mtt wa msela.
Weeh huyo msela wa wapi? I mean anafanya issue gani town??
Lakini yule mtoto muda mwingi yupo na baba yake ujue, na mbona wanafanana??
Hii imekaaje mmbea mwenzangu?? 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…