Kosa la kwanza hilo ndio maana unagongewaMwanaume mwenye sifa hizi unazozitaka inabidi umuumbe wewe, yaani nikupige mashine usiku kucha huku nikikufyokoa madole kwenye mnduku, nikupe pesa Bila kikomo, Na tena niwe Na mvuto utaweza wapi haya yote
Hiyo ilikuwa ni zamani enzi za mkapa Na mwinyi sio kwa Sasa....juzi kuna dogo alikuja kunitembelea nyumbani aliongea maneno mazito mpaka nikashangaa alisema hivi " yaani kaka ungekuwa Na mwanamke usingekuwa Na vitu vyote hivi" maneno ya dogo yalinishangaza sana , kumbe Na watoto wadogo wa kiume wanauona ungese wa wanawakeWapo pia wenzako wenye ushuhuda mambo Yao yalinyooka zaidi ya walivyokuwa baada ya kupata support ya mchango wa ubavu wake. Kwahiyo hili gazeti lako na ushuhuda wa hapa na pale katafute pakulisomeshea.
Utatulaumu tu 🤣🤣 Sio sisi kabisa Mzee Baba mwenyewe🤣🤣🤣 Daah haya bana ila wanawake Mungu anawaona 🏃🏃🏃🏃
Siwezi kuwa multipurpose Mimi, na wala mungu hawezi kunipa vyote unavyovitakaKosa la kwanza hilo ndio maana unagongewa
Sasa ukiniletea hizi ref na Mimi nikakuletea shuhuda za wenzako tutamaliza kweli? Narudia kama huna akili usioee kimbia kabisaaaHiyo ilikuwa ni zamani enzi za mkapa Na mwinyi sio kwa Sasa....juzi kuna dogo alikuja kunitembelea nyumbani aliongea maneno mazito mpaka nikashangaa alisema hivi " yaani kaka ungekuwa Na mwanamke usingekuwa Na vitu vyote hivi" maneno ya dogo yalinishangaza sana , kumbe Na watoto wadogo wa kiume wanauona ungese wa wanawake
Respect Beijing conf kazi zinawashinda. Kwanza sikuhizi hatuwapi ushauri tena (kutoka kwa wake zenu) tunaingia wenyewe front line kwenye majukum yenu.50/50 inavunja vichwa na mikia. Sijui vitabaki viwiliwili tu😏
Hakuna lolote wewe, Na kweli tutakesha hapa....siko tayari kuvaa nguo zilizopauka eti kisa majukumu ya familia🤧🤧Sasa ukiniletea hizi ref na Mimi nikakuletea shuhuda za wenzako tutamaliza kweli? Narudia kama huna akili usioee kimbia kabisaaa
WanazinguaDuuh waombewe hao
Uishi mwenyewe na ulale mwenyewe kama panga ewe mwizukulu.. Wala usishiriki chochote katika kuleta kiumbeHakuna lolote wewe, Na kweli tutakesha hapa....siko tayari kuvaa nguo zilizopauka eti kisa majukumu ya familia🤧🤧
Jamaa umeamua.Hakuna lolote wewe, Na kweli tutakesha hapa....siko tayari kuvaa nguo zilizopauka eti kisa majukumu ya familia🤧🤧
Acha umbeaMh Nikki wa pili Ni kweli?
Kwanini unasema hivyo mkuu?Acha umbea
Unataka kujua undani wa nini? Natania tu MkuuKwanini unasema hivyo mkuu?
This is trueMwanamke ni kiumbe asiekua na shukrani jitahidi muhudumie kwa kiasi tu , na wala usimnyenyekee eti umfurahishe , mwanamke asikujue Sana , jiwekee akiba , na kumbuka ukifirisika atakimbia kama yuko marathon ili akatafute malisho mapya
Nitatuma , laki mbili kwa mwezi haiwezi kuzidi thamani ya maisha yangu, Leo nimekutana Na class mate niliomaliza nao kidato cha sita miaka 15 iliyopita, wanasema sizeeki nipo vilevile, halafu kitu kingine watu hawajui tu ngono inazeesha mwili, ukiwa Na mwanamke ndani walau kwa wiki umtombe mara nne mpaka tano, Mimi ngono nafanya pale ninapokuwa Na hamu tena ni mara moja au mbili tu kwa mwezi, Na muda mwingine nikiwa bize Na Dili zangu naweza kupitisha hata mwezi mzima sijawaza ngono..Umtumie na pesa pia wale na kibenteni chake. Wewe si hutaki.
Hata kwenye ndoa ukiona unampanda Mke wako zaidi ya mara moja kwa wiki basi naweza kutabiri kabisa kwamba wewe ni Maskini wa akili na kipato pia.Nitatuma , laki mbili kwa mwezi haiwezi kuzidi thamani ya maisha yangu, Leo nimekutana Na class mate niliomaliza nao kidato cha sita miaka 15 iliyopita, wanasema sizeeki nipo vilevile, halafu kitu kingine watu hawajui tu ngono inazeesha mwili, ukiwa Na mwanamke ndani walau kwa wiki umtombe mara nne mpaka tano, Mimi ngono nafanya pale ninapokuwa Na hamu tena ni mara moja au mbili tu kwa mwezi, Na muda mwingine nikiwa bize Na Dili zangu naweza kupitisha hata mwezi mzima sijawaza ngono..
Mimi kuna sehemu niliwahi kupanga nyumba Ile sehemu ni Mimi tu ndio nilikuwa sina mke, wale madogo wapangaji wenzangu waliokuwa wamepanga chuma kimoja kimoja, yaani kituko ni kwamba saa mbili kamili usiku wameishajifungia Na wake zao😬😬..kuamka kwao ni saa mbili, Mimi nalala saa sita usiku naamka saa kumi Na moja alfajiri, hivi unahisi kwa maisha hayo hao madogo kwanini wasikongoroke, kipindi kile nilikuwa nikiwaambia Nina miaka 30 walikuwa hawaamini , nilikuwa naonekana kama dogo wa miaka 25 au 24Hata kwenye ndoa ukiona unampanda Mke wako zaidi ya mara moja kwa wiki basi naweza kutabiri kabisa kwamba wewe ni Maskini wa akili na kipato pia.