LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
-
- #121
Yeah yule mama nilibishana nae sana kwenye ule uzi. Aliongea ujinga ujinga mwingi sana kwa kusukumwa na hisia zake binafsiAlinizingua kuna mchungaji aliingilia penzi, Watoto nilishapigwa marufuku hata kusogeza pua na wameishapandiwa chuki kuwa nilitaka kumuua mama yao, na walitabiliwa na huyo mchungaji kuwa nawaroga ili wafe.. ila kabinti kananipenda japo kamepandiwa chuki, nilipata story kwa jamaa yangu kuwa kila kakimuona kanalia kweli kaletwa kanione.. inshort watoto kama nime dhulumiwa ila watanitafita tuu .. ndio kuna siku nikawa naona thread ya Dr. gwajima anasema wababa tunatelekeza watoro, nimawa nacheka kwa ground huyo muheshimiwa haelewi jambo
Niliona ule mtanange, ma uliwachana live.. hawajui mambo kwa groundYeah yule mama nilibishana nae sana kwenye ule uzi. Aliongea ujinga ujinga mwingi sana kwa kusukumwa na hisia zake binafsi
Yule mwimbaji mbunifu Sana🤣🤣🤣🤣Huyo kwenye picha ndiye wewe uliyeimba wimbo wa "Kiingereza"?🤣
Yeah sure. Sasa huyo bwana mchungaji nae ikawaje mpaka manzi akarubujika aisee?? WazaZi wake nao wakakubali kabisa yan au alimwaga sana pesa?Niliona ule mtanange, ma uliwachana live.. hawajui mambo kwa ground
Kuna msemo ukiona mwanamke na mama mtu wanamuita mchunga Daddy, ujue imeisha hiyo .. Nilimtokea kama church girl kumbe niliingia mkengeYeah sure. Sasa huyo bwana mchungaji nae ikawaje mpaka manzi akarubujika aisee?? WazaZi wake nao wakakubali kabisa yan au alimwaga sana pesa?
Madogo wana umri gani saa hii??
Story napangilia sanaa mzee....unakipaji vha utunziKwanini chief?
Chaba yule mwamba wa Chuga?Kidume muda wote unatakiwa kua kama alwatan CHAABA...
Kabisa yaani.....fanya majukumu yote ila jikumbuke na wewe pia. Sometimes kujisahau kunazeesha piaThank youuuuuu.
Thiis is what am saying my friend.
Na sio kama tuna penda ila inatokea tu.
Ujue sometimes hata mwenza wako anaweza anza kukuchukulia poa kisa tu hii kitu,
Ofcourse, kunazeesha matokeo yake mume/mke wako anapunguza upendo maana mvuto unakua umepotea 😂Kabisa yaani.....fanya majukumu yote ila jikumbuke na wewe pia. Sometimes kujisahau kunazeesha pia
Ahahah.kwamba natupa nyavu sio?Uvuvi haramu
Sema ukipata we unga bogi tu selfika 2033 ichangamke bwasheAhahah.kwamba natupa nyavu sio?
Am far better than that bwana , uwe na amani. Sio kila mtu muhuni humu
Kweli mkuu tena Mwanamke anayekupenda anakuchagulia nguo za kuvaa na kama kuna nguo yako haipendi ana kwambia, Mwanamke anayekupenda anatamani mkitembea pamoja uwe umependeza, Kuna rafiko yangu huyo yeye hajikumbuki na uwezo wa kuvaa vizuri anao yani yeye ana shati moja na cadet tu na simu anatumia Tecno ta kitochi na kuna wakati anakosa simu ila mke wake anakua na simu.Precisely, mke anayekupenda hawezi kukuona umechoka na nguo moja tu. Mke anayekupenda atapita duka la nguo na kukuchukulia cadet moja matata ili upendeze...
....changamoto ni kupata mke wa namna hiyo, asiye mbinafsi na anayekupenda.
Kweli mkuu inatakiwa siku moja moja kwenye Matembezi ukikutana na Viatu au Nguo unaccompanied pesa una nunua lakini bila hivyo mambo yatakua Magumu tofauti na wenzetu wazungu wao wanakua na Nguo nyingi na Viatu sijui wao mfumo wao wa ndoa au uchumba upojeLets live to the fullest for tomorrow might never be...
Same thing nilikuwa nawaza jana mtu ukishaingia kwenye familia unajisahau mno na watoto wanakuwa kipaumbele chako.
Mimi wa miaka 3 iliyopita na leo ni watu wawili tofauti kabisa nimechoka kiasi unaweza usinikumbuke nimejikita kwa watoto mno. nimewaza ngoja nianze kujikumbuka na mimi maisha ndio haya haya.
Kweli Kuna siku nilikua naongea Mwamke kwenye kupiga stori tukaingia kwenye stori za mapenzi sasa huyu Mwanamke akaongea maneno yakaniingia Akilini na yakanifanya nishtuke, Wanaume wanajisahau sana kwenye Mapenzi utakuta ana mnunulia Mwanamke vitu vingi wakati huo yeye ana shuka moja ya kulalia na nguo mbili wakati huo wakienda Dukani na Mwanamke ana mnunulia Mwanamke nguo nyingi na yeye hanunui za kwake.Tatizo wanaume tukianza kujua wanawake tunajikuta tunawazingatia sana wao huku sisi tukijitesa maisha yetu.
Ahahaha..sio humu chief. Mi JF naiheshim sana na watu wakeSema ukipata we unga bogi tu selfika 2033 ichangamke bwashe
Hii kitu ni kama iko kwenye DNA ya wanaume wengi sanaaaKweli Kuna siku nilikua naongea Mwamke kwenye kupiga stori tukaingia kwenye stori za mapenzi sasa huyu Mwanamke akaongea maneno yakaniingia Akilini na yakanifanya nishtuke, Wanaume wanajisahau sana kwenye Mapenzi utakuta ana mnunulia Mwanamke vitu vingi wakati huo yeye ana shuka moja ya kulalia na nguo mbili wakati huo wakienda Dukani na Mwanamke ana mnunulia Mwanamke nguo nyingi na yeye hanunui za kwake.