Mkuu, haya mambo ya mahusiano hua sio swa kuwashirikisha wazazi kwasababu zaidi ya yote mnawaongezea stress wazazi wako na unawatia sumu wazazi wa mwenzioMkuu pole Sana Sina Ushauri Ila nadhan kosa ulilifanya kwa kuanzisha mahusiano nje ukidhan unasolve tatizo
Je ushawasharikisha wazaz au washenga ? Au mtu wa kiroho sheikh padri au mchungaji?
Ukijibu haya ntatoa Ushauri
Haya endeleeni na ukimyaAcha makasiriko usikute unakaa kwa shangazi yako nothing you know about this ukiona MTU hawez kuongea basi ujue hata huko kuongea hana uhitaji wake pia
SawaMkuu, mahari sio tabia.
Kama mwanamke anatabia mbaya hii haijakishi kama umemtolea mahari ama lahh...
Na kuzalishwa sio tiketi ya kuolewa (hata kama unatabia mbaya)
Inaumiza sana aiseeWanaume wanapenda sana kujiliza liza humu yy makosa yake hayaoni na hayasemi...
We unakaa na mtoto wa watu mamiaka hata kumtolea tu mahari umeshindwa maanake humuheshimu, yeye amekuwa incubator?[emoji57][emoji57]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Piga chini alafu sogeza mwingine, nae akizingua pigachini chukua kitu kipya hadi hapo utakapo kutana naChangamoto sana mkuu!
Duuh ila kumbe mwanamke ana mambo huyu kama mleta mada anasema ukweli[emoji849]Inaumiza sana aisee
Wee naePiga chini alafu sogeza mwingine, nae akizingua pigachini chukua kitu kipya hadi hapo utakapo kutana na
malaika
Yani haoni kbs..zaidi anachepuka juu..Inaumiza sana aisee
Yeah sure....kama anasema kweli...maana wanaume hawaaminiki kabisaDuuh ila kumbe mwanamke ana mambo huyu kama mleta mada anasema ukweli[emoji849]
kudanganywa kuwa na mtoto na umri sio la kitoto hili[emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Thank youPiga chini alafu sogeza mwingine, nae akizingua pigachini chukua kitu kipya hadi hapo utakapo kutana na
malaika
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2][emoji2] unakuta anatafuta sympathy humuYeah sure....kama anasema kweli...maana wanaume hawaaminiki kabisa
Sio kila mahusiano lazima yafikie ndoa, wakati mwingine kuna mahusiano kama tuisheni kabla ya mtihani..ππ€£
Binadamu hubadilika Kate....binadamu sisi ni wabaya sana Mara mia ya mnyamaYani haoni kbs..zaidi anachepuka juu..
Wkt hamna stress km bwn uwezo anao na harasimishi
Na ushazaa..sipatii picha
Hawashindwi kitu pale wanapokuwa wamemchoka waliyekwisha mtumia[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2][emoji2] unakuta anatafuta sympathy humu
Hawashindwi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu yapo mengi sana ila kuna vitu nimeona as mwanaume nisimweke hadharani ila matukio yake ni mengi na yanatisha sana hapo nimeandika ili kusitiri na sijataka kuandika yote ila kusema kweli huyu mwenzangu ananitisha but najitahid sana kukaa nae with a hope atabadilika ila huku nikofikia sasa naona yanakuwa mazito zaidiDuuh ila kumbe mwanamke ana mambo huyu kama mleta mada anasema ukweli[emoji849]
kudanganywa kuwa na mtoto na umri sio la kitoto hili[emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
KabisaHawashindwi kitu pale wanapokuwa wamemchoka waliyekwisha mtumia