Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Ww ni mwendawazimu kupitiliza kama hujuma hii ya kipumbafu namna hii unaweza ihusianisha na watz waliokuwa wakimkubali na wanaoendelea kumkubali Magu! Ni wazi ww una mtindio wa ubongo hata kufikiria kuwa wanaoendelea kuikubali falsafa aliyosimamia Mh. DR. JPM, ni wasukuma!
Wote wanaoendelea kuikumbatia falsafa ya magulification hawawezi hata kuwaza kuihujumu nchi yao bila kujali nani ni rais! Hao wapumbafu wenzio waliozuiwa kuihujumu na kuiibia nchi yetu kipindi Mh. Dr. JPM akiwa madarakani ndio wanaofanya hujuma hizo kwa kumpima huyu mama yetu na kama ataendelea kuwalegezea macho yake, watz wataishi maisha ya kumlilia jembe na shujaa wao Mh. Dr. JPM daima! Akisimama kidete kama mwanafunzi mwerevu na mwaminifu kwa mwalimu wake, hao wezi, mafisadi na madalali wa mali za nchi yetu hawatapata lolote na watarudi mafichoni walikokuwa wamejificha kipindi chote mzalendo namba moja Mh. Dr. JPM alipokuwa hai na amirijeshi mkuu na rais wa nchi yetu ya Tz! Mungu umrehemu mpendwa wetu Mh. Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, SHUJAA WETU WAAFRIKA TUNAOJITAMBUA WOTE, MTETEZI WA WAMACHINGA, MAMA NTILIE NA WANYONGE WOTE NCHI NZIMA, UMPUMZISHE KWA AMANI YA MILELE RAHANI PAKO MUNGU WETU MUUMBAJI WA MBINGU NA DUNIA, AMEN!
 
Kumwambia machinga apande bidhaa hata chooni akipenda ni siasa za bei rahisi, ni kumdanganya kumwambia machinga apange bidhaa zake hata kwenye barabara na njia za waenda kwa miguu, chini ya nyaya za umeme, juu ya mitaro ya maji taka, mbele ya wenye maduka
 
Hivi umbea na uzandiki wa jinsi hii hapa nchini utaisha lini?

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Ww ni mwendawazimu kupitiliza kama hujuma hii ya kipumbafu namna hii unaweza ihusianisha na watz waliokuwa wakimkubali na wanaoendelea kumkubali Magu! Ni wazi ww una mtindio wa ubongo hata kufikiria kuwa wanaendelea kuikubali falsafa aliyosimamia Mh. DR. JPM, ni wasukuma!
Wote wanaoendelea kuikumbatia falsafa ya magulification hawawezi hata kuwaza kuihujumu nchi yote bila kujali nani ni rais! Hao wapumbafu wenzio waliozuiwa kuihujumu na kuiibia nchi yetu kipindi Mh. Dr. JPM akiwa madarakani ndio wanaofanya hujuma hizo kwa kumpima huyu mama yetu na kama ataendelea kuwalegezea macho yake, watz wataishi maisha ya kumlilia jembe na shujaa wao Mh. Dr. JPM daima! Akisimama kidete kama mwanafunzi mwerevu na mwaminifu kwa mwalimu wake, hao wezi, mafisadi na madalali wa mali za nchi yetu hawatapata lolote na watarudi mafichoni walikokuwa wamejificha kipindi chote mzalendo namba moja Mh. Dr. JPM alipokuwa hai na amirijeshi mkuu na rais wa nchi yetu ya Tz! Mungu umrehemu mpendwa wetu Mh. Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, SHUJAA WETU WAAFRIKA TUNAOJITAMBUA WOTE, MTETEZI WA WAMACHINGA, MAMA NTILIE NA WANYONGE WOTE NCHI NZIMA, UMPUMZISHE KWA AMANI YA MILELE RAHANI PAKO MUNGU WETU MUUMBAJI WA MBINGU NA DUNIA, AMEN!
Baki na upuusi wako, sina muda!
 
Ni kama wewe unavyowahusisha wasukuma na mambo wasiohusika nayo,yote sababu ya chuki tu kwa wasukuma.
Tena bila ushahidi eti sukuma gang mkishindwa kuongoza hao mnao waambia sukuma gang watawaonyesha njia kuna mtu kauawa maeneo ya benk, kuna tani nzima ya lobo kwa ujinga wenu hiyo ni hujuma ya sukuma gang
 
Taasisi hii sijawahi kuona umuhimu wake zaidi ya ulinzi wa viongozi.
 
Nani alikuambia kuwa kuna ukabila nchi hii?,yani mnatumia neno sukuma gang kwa wakosoaji wa selikali hii ili kuwatukana na kuwadhalilisha wasukuma!acheni wendawazimu wenu.
Nonsense😎,yani unazua ujinga wako na ndio unataka kuujengea hoja mfu,kiongozi yupi huyo aliyetoa hayo maagizo au ruksa kwa hao wamachinga na ni wapi?
 
Huna akili kabisa.musiwe mnaamsha hasira za watu.Bado watu wanamkumbuka JPM na hatujui kilichosababisha kifo cha gafla.Bola mnyamaze aisee.mwaweza kusabibisha vita bure.
 
Mkuu hii mijadala haihitaji hasira. Elimisha kwa HOJA MADHUBUTI
Kwani wewe hoja yake hujaiona hapo?huyo mtoa bandiko ameleta shutuma zisizo na ushahidi,hata hao wanaoitwa sukuma gang ni jina tu waliloamua kulitumia kwa wakosoaji wa awamu hii kwa kuwalenga wasukuma.
Itoshe tu kusema,hii ligi ya kati ya kanda hizi mbili kati ya kanda ya ziwa na kaskazini ndio iliyolega yote haya.
Inaonekana awamu ya 5 ilifumua na kuathili channel nyingi za wapigaji.
 
JPM amekwisha kuondoka juu ya uso wa dunia na hatarudi tena. Mama anaweza asiwe sawa na hayati lakini cha muhimu ni kumjenga kiuongozi kuliko kumbomoa kwa kutaka kumpangia viwango vikubwa sana vya kufikiwa.
 
Hahaha, raha aliyonayo mh Rais Samia ni kwamba, popote atakaposhindwa, itasingiziwa SukumaGang.

Na akilikubali hii dhana, itamharibia sana.
Lakini huu ndio ukweli, ni kweli kwamba masalia ya JPM ndio wanaotaka kumkwamisha Samia, sisi waafrika hapo ndipo tunapofeli, mtu ameshakufa lakini kuna watu wanatamani hata kiti chake kingebaki wazi, nakwambia kama tungepiga kura kuna watu wangechagua tubaki bila rais kwasababu tu mtu wao amekufa
 
Samia mwenyewe ni masalia ya JPM.

Bila kutajwa na JPM asingekuwa hapo alipo
 
Jiwe hajaondolewa na Samia!
 
Kama ni kweli kuhusu hawa jamaa basi ni kumtafuta kiongozi wao na kumfundisha adabu!!
 
Hakuna MTU anaweza kumwua rais aliyeko madarakani katika hii nchi,,hakuna!
ni kweli nani amuue bana, yeye alikuwa na tatizo la moyo la muda mrefu na Corona nayo ikampitia ila kwa sababu ya afya yake ndiyo ikapita naye mazima - kutibiwa kwa mabeberu kagoma mwenyewe- sasa unamlamu nani hapo kwa mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…