Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

Tukumbuke Mbagala rangi tatu ni soko kubwa Sana ambalo limekuwa attached na Barabara kuu .Sokoni hakuna usafi wa ndiyo maana hata KARIAKOO huwa ni pachafu . Uchafu wa rangi tatu ni soko na shida kuu Machinga hawajawekewa Mahali maalum hivyo wamekaa hovyo hovyo .Uzembe wa Utawala wa soko unafanya paonekane hapafai lakini ukitika hapo sokoni rangi tatu Maeneo mengine yapo Safi Sana tu nenda Kongoe,Toangoma ni Kama Mbweni tu,Chamanzi Nyumba Safi katika mpangilio Safi Kabisa, Kijichi sawa tu maeneo yoyote ya VIP Tanzania.

Ukaifananishe maisha ya Sokoni ukafananishe na Mtaani Mnapopazungumzia ni Sokoni vurugu hizo ni Sokoni.
 
Nimekuelewa, kama Kijichi asee choka mbaya huwezi ishi kule
 
Sasa Mbagala ya 1990 tena..!!! Hivi unaijua ubungo ya pale kijazi ya mwaka 1994 kwamba palikuwa panauzwa miche ya migomba, michungwa etc..!? Leo hii unaweza ukabisha kwamba ndo pale pa 1994
Hujanielewa,nimekwambia mbagala naifahamu tangu hiyo miaka na napita sana nikienda tuangoma
 
Hivi Dar kuna sehemu wanaingia bila kugombania? Labda huko Masaki to Masaki.

Maana hata wa Masaki kutokea Ubungo enzi hizo mie niliacha bado Ubungo ipo, walikuwa wanagombania vizuri.
Hata Mawasiliano wanagombania hao waenda mitaa ya Masaki
Tatizo la Mbagala walikuwa wanagombea gari na kuingilia madirishani; au wameacha hiyo kitu???
 
And they're are just comfortable
Wamezungukwa na uchafu Barabara,, wauza miwa wapo katikati ya barabara ya Mwendokasi..
Pachaaaafu.
Aiseee, Mbagala kuna hekaheka 🙌
Yani wale wanafukuzwa mchana jioni wanarudi..na huo uchafu hapana kwakweli
 
Yani wale wanafukuzwa mchana jioni wanarudi..na huo uchafu hapana kwakweli
Hata KARIAKOO Machinga wanafukuzwa Mchana jioni wanarudi .Tutambue tu shida ya pale rangi tatu barabara kuu imepitishwa Sokoni. hivyo kero za Sokoni zimeishambulia Barabara kuu.
 
Daladala zifuatazo zitapigwa marufuku pindi tu mwendo kasi itaanza safari zake.


1: Daladala za Mbezi <>Mbagala
2: Daladala za Ubungo<>Mbagala
3: Daladala za Kariakoo <> Mbagala
4: Daladala za Kawe <> Mbagala
5: Daladala za Msasani <> Mbagala
6: Daladala za Makumbusho<>Mbagala

Next season 2027

7: Daladala za G.Mboto <>Mbagala

Kama foleni itakuwepo, itakuwa kwa kiwango kidogo sana.
 
Kule wangetawaliwa na katili mmoja akawatungia sheria zake akili zingewakaa sawa,niseme tu hawana akili
na sijui kwanini pako hivyo,yani mtu haoni shida kupiga hatua kadhaa kutoka kwenye nyumba yake na akauza bila kujali mpango mji
 
chama chetu kinapenda hizo changamoto
kama kipo zitaendelea kuwepo
 
Kwa mara ya kwanza nilikanyaga mbagala mwaka 1990 nikielekea chamazi kule uvikiwata nimeishu huko kiezi miwili pakanishinda nikaacha kodi yangu ya miezi minne
Hahaha Mbagala ni pakipumbavu Sana , nimewahi Kufanya KAZI huko miaka mitano niliona maisha kama Niko Mogadishu!


Bora nikae uswahilini ya mlalakuwa kuliko Mbagala

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sema kweli tunaishi Mbagala lakini binadamu aliestarabika hapaswi kuishi.
Mbagala inaongoza kwa uchafu. Barabara ya mwendokasi katikati imechafuliwa na wauza miwa, machinga na wengine.
Mimi niliwahi kusema mwendokas ya Mbagala itawahi kuharibika

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sasa Mbagala ya 1990 tena..!!! Hivi unaijua ubungo ya pale kijazi ya mwaka 1994 kwamba palikuwa panauzwa miche ya migomba, michungwa etc..!? Leo hii unaweza ukabisha kwamba ndo pale pa 1994
We ni mjinga na mshenzi mmoja unaepanga bidhaa hapo barabara ya Zakhiem unakuja kutetea upuuzi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hayo yote Tisa...kumi serikali ikafanye maendeleo mikoa ya kuamini... asilimia 75 ya wanaoishi Mbagala wametoka mikoa ya kusini...wamekimbia nini huko?
 
Yani ulinganishe Mbweni na Chamazi,

Vijana WA Mbagala hizo bangi mnazovuta inabidi serikali izipige marufuku. Taifa Lina vijana wa hovyo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Karibu kijichi mtoto mzuri.

Ukishuka nakufuata na king'ora Cha escort,no foleni Kama anavyolalamika Saint Anne
 
Panda daladala ya Mbagala halafu nenda kapande daladala inayoenda Tegeta au bunju.

Mbagala basi Zima unaweza usione pisi Kali hata moja. Wanawake wamevaa madela yamechomekewa kwenye chupi. Sura zimeharibika. Vijana wamechoka.

Ila daladala za Sinza, Tegeta, Makongo juu unakuta pisi nzuri zinanukia, hata kama basi limejaa husikii mijasho. Ustaarabu upo Kwa kiasi chake.


Mbagala MTU kwenye basi anaweza kutoa tusi ukabaki unashangaa.

Mbagala itolewe Dar iwe sehemu yake

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nilishangaa konda ananiambia ndio tumeshafika, gari jingine pandia hapo,, yaani katikati ya barabara[emoji23]
Nilikuwa naenda Kongowe.
Aloo, nilibaki nashangaa.
[emoji23][emoji23]Mbagala kama mwisho wa dunia vile[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…