KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Nakutajia miji katika mfanano wewe unaleta Ushindani na jufikiri kila anayepazungumzia vizuri Mbagala Basi ni MKAZI wa Mbagala .Sasa neno Mbweni Maputo kafananishe na Mbagala Chamanzi halafu uje kueleza hapi wapi Pazuri .Yani ulinganishe Mbweni na Chamazi,
Vijana WA Mbagala hizo bangi mnazovuta inabidi serikali izipige marufuku. Taifa Lina vijana wa hovyo.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huna unalojua shwainNakutajia miji katika mfanano wewe unaleta Ushindani na jufikiri kila anayepazungumzia vizuri Mbagala Basi ni MKAZI wa Mbagala .Sasa neno Mbweni Maputo kafananishe na Mbagala Chamanzi halafu uje kueleza hapi wapi Pazuri .
Maana Mbweni Maputo ni Pachafu vibaka na Gongo hovyo hovyo Wala hutoweza fananisha na Chamanzi .
Jamiiforums umejiunga lini Maana inawezekana Kabisa najadili na Mtoto wa Chuo
Karibu kwetu MbagalaJapo nimezaliwa dar hapa hapa ila kwenye maisha yangu Mbagala nimefika mara moja tu. Nitajitahidi nizunguke nipaone kwa usahihi zaidi pakoje!
Kwa hiyo nikitaka kwenda Kawe napanda wap hadi wapi? Na nauli itakuwa shi ngap? Je kati ya mwendokasi na daladala unafuu uko wapi?Daladala zifuatazo zitapigwa marufuku pindi tu mwendo kasi itaanza safari zake.
1: Daladala za Mbezi <>Mbagala
2: Daladala za Ubungo<>Mbagala
3: Daladala za Kariakoo <> Mbagala
4: Daladala za Kawe <> Mbagala
5: Daladala za Msasani <> Mbagala
6: Daladala za Makumbusho<>Mbagala
Next season 2027
7: Daladala za G.Mboto <>Mbagala
Kama foleni itakuwepo, itakuwa kwa kiwango kidogo sana.
Mara ya kwanza kutoka Mbagala kwenda makumbusho nilihisk makumbusho na wilaya ya Kinondoni sio Dar. Mbagala wanawake na wasichana mavazi makuu vijora na madera tu. Hata kama demu ana shep imefichwa kwenye dera, ukienda Kinondoni, unakuta sket fupi paja nje utamu kama wote. Kijana alietoka Mbagala lazima akodoe macho kwa demu atakaekatisha mbele yake sababu mambo yote mageni.Japo nimezaliwa dar hapa hapa ila kwenye maisha yangu Mbagala nimefika mara moja tu. Nitajitahidi nizunguke nipaone kwa usahihi zaidi pakoje!
Nani kakuambia kua havijazibwa kwa vioo ,kazi ya kuweka frem za vioo imeanza juziNa jambo la kumshukuru mkandarasi wa ile njia amepatia sana kuwawekea vituo visivyozibwa kwa vioo kama njia zingine.
Bila hivo Serikali ingepata hasara.
Tena ikiwezekana wapelekewe na mabasi yenye wavu madirishani maana wale watu wanajijua.
Vioo vinawekwa juzi wameanza kuweka fremNikajua bado ujenzi unaendelea, vioo vitawekwa
Tanzania hakuna stendi kubwa iliyojengwa kwa mapato ya halmashauri kwa 100% ni pesa za serikali kuuSiasa bhana, vikindu ni pwani, mkoa wa pwani haina hiyo hela ya kujenga mradi makubwa kama huo
Wameanza kufanya usafi mkuuYaani gari zinapakilia Barabarani
Nimeshangaa pia kuona barabara ya Mwendokasi ni chafu kupita kiasi, na ishaanza kubomolewa mule pembeni kwenye Kuta ingali bado ni mpya..
Yaani ni tofauti kabisa na Barabara ya Kimara Mbezi ambayo pia iaendelea na ujenzi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Shida kwa halmashauri sasa, mvutano kati ya za Dar na za Pwani, kila mmoja anataka ijengwe kwake ili avune pesa ndio maana hakuwezi kuwa na mradi kama huo labda magufuli angekuepoTanzania hakuna stendi kubwa iliyojengwa kwa mapato ya halmashauri kwa 100% ni pesa za serikali kuu
Siasa bhana, vikindu ni pwani, mkoa wa pwani haina hiyo hela ya kujenga mradi makubwa kama huo
Tanroads kumbe wanajenga vituo vya mabasi pia?nilikuwa sijui
Shida kwa halmashauri sasa, mvutano kati ya za Dar na za Pwani, kila mmoja anataka ijengwe kwake ili avune pesa ndio maana hakuwezi kuwa na mradi kama huo labda magufuli angekuepo
Ni tuangoma au toangoma
Mbagala haizidi goms kwa watu wengiSerikali ya Tanzania majanga sana mbagala ndiko ambako kuna Idadi kubwa ya wananchi Kwa Hilo jiji Sasa utashangaa njia nyembamba ,miundo mbinu finyu
Tatizo wachangiani humu wengi ni ujuaji tuu hata hiyo mbagala hawaijui kabisaa.Mwingine anasema ndio kwanza kapita jana naona mwingine anasema ameshafika mara 1 tu.Stend ya magari ya mikoani itajengwa mwandege
Pia barabara itapanuliwa njia nne hadi vikindu