Mwendokasi ni zaidi ya physical therapy. Leo nimetibiwa

Yaani Ebora ikiingia Dar kwa mwendokasi tutaambukizana mno
 
Labda Mbagala kutokea Posta. Ile ya Gerezani ukipanda mbungi yake utataja rangi zote 3 za Mbagala!
 
Mi nadhani ile ya Mbagala iko poa sana kwakuwa bado wanachuana na dala dala.
Lakini huko Kimara naona hata daladala hazitoshi au hazipo kabisa.
Siku wakilogwa kusitisha daladala za Kisemvule, Kisewe, Toangoma na Kitonga utasikia mayowe kila kona.
 
Subirini ianze mbagala kwenda moroko mtafikiwa
 
Umenikumbusha tukiwa wadogo, mama akisema jiandaeni kesho mtaenda dar hatulaliπŸ˜…
Katika maandalizi hayo niliwahi kumpiga mtoto wa jirani nikiamini kesho yake tutasepa kwenda dar...duuu safari si ikaahirishwa...hakuna rangi sikuona!!
 
Katika maandalizi hayo niliwahi kumpiga mtoto wa jirani nikiamini kesho yake tutasepa kwenda dar...duuu safari si ikaahirishwa...hakuna rangi sikuona!!
Una ukute ulikua haumudu pambano lake , wewe ukimwotea ukijua kesho mnasepaπŸ˜…
 
Inaitwa Physiotherapy ama Tibamaungo.

Na hapo shukuru hujapata "sad ending " ya kuibiwa chochote.

πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜†

Mimi nikifikaga Gerezani kupanga foleni naonaga jau. Nakaaga kule kwenye gombania goli. Aiseeh! Jana nilikomeshwa. Therapy ya uhakika
Tulisukumana kama mizimu iliyoshtuliwa na mchawi
 

Mwendokasi ya Mbezi kimara ni hatari sana.
Humo ukileta mzaha unapoteza maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…