lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,912
- 3,378
Bila Shaka ni kile kipande cha Kitoka msimbazi police mpaka gerezaniKuna sehemu moja kariakoo ipo siku mtasikia hizi mwendokasi zimeua halaiki.
Naombeni mtunze hii comment
Hapana Kuna kipande Kama unaelekea kuingia Barabara ya feriBila Shaka ni kile kipande cha Kitoka msimbazi police mpaka gerezani
Mkuu Hakuna mahali Nimesema marehemu alikuwa kwa earphones,nimetoa tahadhari kwa wengine wenye tabia hiyo.Acheni kumshambulia marehemu. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa. The forces of nature
DoohWana jf.
Leo nimeshuhudia kifo cha ajabu mno. Ilikuwa hivi, MTU mmoja akiwa anatokea maeneo ya postal/ mjini alipofika kwa ofisi ya mwanasheria mkuu alivuka barabara ya kwanza inayotoka na kwenda Kivukoni.
Ghafla bila kuangalia huku akiwa anongea na simu ndipo mwendokasi ikampiga na kumzungusha chini ya uvungu na kukanyagwa na tyre lingine LA mbele, kakanyangwa shingo.
Wakati huo dreva tunamwambia rudi nyuma umekanyaga mtu, yeye akakosa nguvu kabisa arudisha kumbukumbu kurudi nyuma tayari damu nyingi zinachuruzika na mtu ajitingishi.
Mpaka sasa polisi ndio wanafika kuuchukua mwili. Funzo usivuke barabara wakati unaongea na simu, kusikiliza mziki na headphone.
Sio tu kuongea na simu,kuna ulimbukeni na ushamba wa kuvaa earphones 24/7 kwa watumiaji wa Barabara
Na kuacha kushabikia Siasa za Mauaji na ukatiliMaisha haya. Inatupasa kuishi maisha ya toba kwa kumpokea.Yesu kuwa Bwana na Mwokozi
Dubai hii sheria ipo sana piaairobi kuna wakati ilikua ni kosa kuvuka barabara ukiwa unaongea kwa simu. Niliipenda hiyo sheria
Buguruni pale watu wamewekewa kivuko cha daraja la watembea kwa mguu lkn watu bado wabishiiwqbongo tumelogwq na bani kwqnini hatupendi zebra ingawaje hazidumu zinafutika haraka
Mkuu,si uweke wazi wahusika wachukue hatua ili maisha ya watu yaokolewe?Kuna sehemu moja kariakoo ipo siku mtasikia hizi mwendokasi zimeua halaiki.
Naombeni mtunze hii comment
Tatizo hakuna taa za watembea kwa miguu.Nchi zilizoendelea ni kosa kuvuka kwenye junction kubwa bila taa za miguu wanaita jaywalkingNa kuna wale watembea kwa miguu wanaovuka huku taa zipo kijani unakuta gari imechochea inawahi taa mtu anajitupa barabarani avuke..
Afu trafic hawatoi elimu yoyote kwny hili wao kazi kubeba buku mbili za kiwi
Sahihi.Bila shaka ni ile shanga ya rim ndiyo ilifyatuka na kumpiga
msiba huko wapi jamani bado nasikia uchungu sana maana nilitaka kumwokoa namwambia dreva arudi nyuma dreva ameshangaa tuu taili lipo shingoni .......Dooh
Ndo nagundua tuna msiba kwa jirani baba amefariki leo kwa kugongwa na Mwendokasi.
Mungu amlaze pema
Msiba upo Kigamboni maeneo ya Mikadimsiba huko wapi jamani bado nasikia uchungu sana maana nilitaka kumwokoa namwambia dreva arudi nyuma dreva ameshangaa tuu taili lipo shingoni .......
mbona wanasema eneo la kwa urasam marehemu alikuwa ameoa mke na bado hawajapata mtotoMsiba upo Kigamboni maeneo ya Mikadi
Maziko ni leo saa kumi alasiri.
Mungu ampokee mja wake
Taa zipo za watembea kwa miguu sema hawazifatiliiiTatizo hakuna taa za watembea kwa miguu.Nchi zilizoendelea ni kosa kuvuka kwenye junction kubwa bila taa za miguu wanaita jaywalking
Sasa hapa bongo kwenye mataa kuna zebra halafu raia anavuka tu bila kujali kama taa za magari zimeruhusiwa.wanajua wao ndio wana haki peke yao kuliko magari.
Pale ilala boma pale pana hatari sana
Safi, na vitendo hivi vya KIFEDHULI vya kuzuia haki za wengine kuishi, vinavyoendelea chini ya utawala huu DHALIMU wa CCM vinapaswa kupingwa kwa nguvu zote na kila mpenda haki na mwenye HOFU YA MUNGU.Maisha haya. Inatupasa kuishi maisha ya toba kwa kumpokea.Yesu kuwa Bwana na Mwokozi