Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
kiwaki waki. Akili kubwa na akili majungu haviwez kukaa pamojaMawazo ya kiwaki
Wakae wasameheane tuSiasa sio uadui !
Hapo zamani ilikuwa haiwezekani kabisa kabisa mchezaji wa Yanga akahamia Simba au mchezaji wa Simba akahamia Yanga !
Lakini kwa sasa hiyo kitu ni ya kawaida sana !
Kama Kibu Denis kuhamia Yanga ! 😅🙏
Makonda nyota yake ipo CHADEMA ni yeye tu hajui.Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.
Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.
-Wote ni wazalendo
- Wote wana misimamo na wanayo yaamini
Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.
Muwe na weekend Njema
mtu yeyote anayemfuatilia makonda huyo ni mfu kifikra. yaani sasa umfuatilie makonda ili usikie nn cha maana toka kwake? aliingia na punda, roli, mkokoteni hata punda. vitu hivi vina mahusiano gani na ueneziUnaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.
Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.
Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.
Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.
Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.
BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.
Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Labda makondo, Lissu aliemdindia mpaka Jiwe. Hawa watu wangepatana tungekua mbali sana leo. Ila ndo hivo Misimamo ya Lisu mara zote humwacha peke yake.Mmoja ajishushe tu
Mnara wa Babeli !Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.
Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.
Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.
Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.
Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.
BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.
Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Hivi kwa akili yako tu ya kuvukia barabara unaweza kuniambia bashite ana hoja gani za kuitetemesha chadema? Tatizo mmezoea kuishi kwa maigizoCHADEMA waliumia sana Makonda alipopewa Uenezi. Wakaungana na wahuni kujenga presha atolewe ili wapumue. Jamaa alijua kupiga home and away. Chama cha hoja act wazalendo nacho ndio ivyo Tena 😁 😁
InawezekanaMakonda nyota yake ipo CHADEMA ni yeye tu hajui.
HakikaLabda makondo, Lissu aliemfindia mpaka Jiwe. Hawa watu wangepatana tungekua mbali sana leo. Ila ndo hivo Misimamo ya Lisu mara zote humwacha peke yake.
Hahahaa.......Yaani Makonda amefikia hatu ya Kulinganishwa na Mwamba Lissu?Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.
Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.
-Wote ni wazalendo
- Wote wana misimamo na wanayo yaamini
Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.
Muwe na weekend Njema
Labda makondo, Lissu aliemfindia mpaka Jiwe. Hawa watu wangepatana tungekua mbali sana leo. Ila ndo hivo Misimamo ya Lisu mara zote humwacha peke yake.
Hakuna hakika, changamoto ni Lisu ana hasira na CCM na Makonda ana tamaa ya madaraka nani atamfata mwenzie?
Hili naezatolea ushuhuda.Lisu hana uchu na madaraka?
Hili nyumbu la wapi tena?Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.
Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.
-Wote ni wazalendo
- Wote wana misimamo na wanayo yaamini
Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.
Muwe na weekend Njema
Amin Lissu ni Nuru.Nuru( Lissu) na giza havikai pamoja, hii ni Natural Law
Haya ni mawazo yako finyuNuru( Lissu) na giza havikai pamoja, hii ni Natural Law
Kwa kupanda mapunda?...Acha upumbavu kuwa mwerevuUnaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.
Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.
Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale [emoji1787].
Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.
Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.
BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.
Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Leo hii unaweza kumwambia Makalla aitishe mkutano wa hadhara na Makonda aitishe na utashangaa watu wamejaa mkutano wa Makonda bila hata kuambatana na wasanii.Hivi kwa akili yako tu ya kuvukia barabara unaweza kuniambia bashite ana hoja gani za kuitetemesha chadema? Tatizo mmezoea kuishi kwa maigizo