Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?
Hii ndio habari inayotrend kwa sasa, makada kadhaa wa CCM wanasema kwa namna siasa za sasa zinavyokwenda bila kupata chawa mwenye wafuasi wengi mitandaoni na mwenye uwezo wa kujitoa ufahamu kumsifia mama Samia huku akiwananga watu wengine wote wenye mwelekeo tofauti na Mama Samia basi hali itaendelea kuwa mbaya na kila mara atatafutwa mtu wa kushika nafasi ya katibu mwenezi wa CCM taifa. Bila kupepesa macho, jina la Mwijaku ndio likapewa nafasi kubwa zaidi.

Hii ni zamu ya chawa kutafuna fursa za taifa kwa kilemba cha CCM.


Aibu kwa Taifa
 
Dah sitaki Kikeke aende huko, yaani atoke BBC aje kuwa mwenezi si mumuweke hapo TBC huu utakuwa ujuha na matumizi mabaya ya raslimali watu
Sasa hvi hafanyi kazi kokote pale Yuko anazunguka London
 
Back
Top Bottom