Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

Wakati tunatafakari hilo, tujiulize pia ile Fimbo ya Malkia na Mwenge wa Olympic ambavyo vyote hutembezwa sehemu mbalimbali Duniani na hapa kwetu vimeshafika mara kibao, je vina uvumba? Au malengo yake ni nini?
Two wrongs dont make a right.... yaani kwakuwa fimbo ya malkia inazungushwa basi ndio tuendelee kutawaliwa na majini
 
Vyema kwa ufafanuzi.
Ila hayo ni yatokanayo na mnazodai ni matunda ya Hilo li-dude lenu,
Umewahi kuchimba na kujua Asili yake?
Sio mwanzo mlipoambiwa utawekwa juu kuangaza? Na kama hoja ni kuangaza Kwanini sasa unarandaranda? Tujiongezage jamani.
Bahati mbaya kichwa chako ndio kinatoa tafasiri ya kurandaranda. Ukijakuwa Mtanzania wa kweli utaelewa.
 
Mungu akiwajaalia mkaerevuka Dhidi ya upuuzi wa kuburutana kuwa ndicho kigezo cha Mtu kuwa Mzalendo,
Pengine ndio hatma ya mimi kuwa miongoni mwenu.
Vingevyo,
Mimi si miongoni mwenu leo na hata kesho.
Bora ukaacha kuwa miongoni mwetu kuliko kujifanya uko miongoni mwetu.
 
Yaani hata maelezo yako tu bado yanamfanya mtu acheke leo hii,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inawezekana wazee wa uch- awi humu wakatutukana sana tunaopinga huo mwenge, wazee wakuingia kwenye milango ya watu kufungua vitasa kwa makalio,
 
Mkuu Paschal naomba nitoke nje ya mada kidogo, hivi ACACIA ni kampuni ya Canada au Marekani? lakini si kuna ubalozi wa Canada na Marekani hapa nchini? swali: kwa nini Mkulu asiwaite hao mabalozi wakaongea badala ya kuharibu mahusiano mazuri?

Capitalism ohhhh. Soma basi kidogo Kuna mahusiano mazuri kati ya bepari na maskini. Bepari anapogundua umestuka ujue CIA itatumia Watu ka nyie kupinga kila kitu. Ili wapandikize mtu wao. Eti mahusiano mazuri. Ukikosa dawa. Unamtukana Rais. Ukidhurumiwa unadai mahusiano mazuri. Wewe tulia kojoa kunya. Subiri 2025. umchague Rais wako atafanya unayotaka.
 
Tatizo huna akili hata kidogo
 
Ni sadaka yao kwa shetani baada ya kuiuza nchi kwake baba wa uongo
 
Uchawi tu ule ndo maana hata kudai haki hatuwezi. Tumerogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…