Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

Hivi "FOROJO" Faru Joni?
Anyway, hata mimi huwa naamini kuwa hii shughuli ya Mwenge ni ushirikina tu hakuna la zaidi!
 
unaamaanisha kabla hawajauzungusha mwenge kuna matambiko wanaufanyia ili kiumbe huyo anayeishi mapangoni asijitokeze?
2:kiumbe huyo ni nani?
3.ana impact gani kwa nchi akionekana hadharani?ana madhara?
NB:mimi bado ni kijana mdogo lakin nikikuwa miaka ijayo kama nitapata nafasi ya uongozi huko juu lazima mwenge niupige chini.
MUNGU IBARIKI AFRIKA NA TANZANIA YANGU NAIPENDA.
 
Wee jamaaaa
 
Mwenye akili angekuja na Idadi na thamani ya miradi iliyofunguliwa na Mwenge toka tupate uhuru VS Gharama zilizotumiwa na Mwenge.

Hii ndio njia ya kisayansi ya kuujadili mwenge !!
Hata jingalao ulijiona genius kweli!!! Yaani uliumiza kichwa vya hatari! Kazi ipo
 
Kwahiyo wewe p unataka shetani aendelee kutawala milele na siku watanzania watabadilika hutaamini wewe wao na mungu wao nyamrunda wanayemzungusha wakiwadanganya watu ni mwenge .
Mkuu Chief Kabikula,
nisome hapa kuhusu mwenge.
P
 
Soma huo mstari wa 11
 

Brother pascal hicho ulichokisema sio cha kuuliza.ni uvumba huo nadhani
 
Moto ni ibada za kishetani ambazo hata kanisa katoliki huzifanya.

Siku utakapofunguliwa ufahamu na ukajua kuwa si kanisa wala mtume (awe ni Paulo - your current nemesis- au Muhammad) bali ni uhusiano wako BINAFSI na aliekuumba that's what matters utawezeshwa kujua ni kwa nini Mungu alikuleta duniani. Na naamini (based on what you have been writing here) Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na Nchi atakufunulia ili uyafanye mapenzi yake. Mungu akutangulie dada yangu, na akupe ujasiri wa kuisikia sauti yake itakapokujia.
 
Soma hiyoooo: https://www.tldm.org/news/martin.htm
 
Bwana Pascal Mayala nisaidie nimeshindwa kuweka kichwa chahabari nashangazwa natamko la uandikishaji wa vijana kujiunga na Jkt tangazo linasema hivi tunachukua umri usizidi miaka 20 naomba nizungumzie kidato channe nawanachukua waliomaliza 2016-2017 na 2018 sinaugomvi nahiyo tatizo hapo naomba nizungumzie huyu aliomaliza 2016 kweli atakuwa naumri wamiaka 20 au zaidi hadikufikia hii 2019?
Tuanze uchambuzi
Darasa lakwanza anaanza akiwa naumri wa miaka 6 hadi 7 anamaliza shule yamsingi akiwa na umri wamiaka 14 kidato channe anamaliza akiwa na umri wamiaka 18 sasa tuhesabu kutoka mwaka2016 hadi leo 2019 kweli huyu atakuwa umri wake upo miaka 20 au zaidi? Mimi naimani itakuwa zaidi ya 20 hukunikuwanyima Vijana haq yao yakupata mafunzo namashaka makubwa nawanaopanga umri Uwezo wao upochini Sana wakufikiri nimeweka hapa iliwatu wachangie ilanimada ingepata sehemuyake ichangiwe nimeshindwa namna yakuiweka iwenahedi yakePascal nisaidie uiwekee Hedi tupatekuchangia iliwatu wachangie nadhani ingetosha Wangesema wanaotakiwa ni wa 2018 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…