Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Nwamposa amesaidia Sana watu kufahamu habari za uzima na habari za Yesu na watu wameamini kupitia mahubir yake ...ni mmiongoni mwa wamisionari wa Karne hii
 
Mimi Kila siku nasikia wale ambao wanataka kumrudia Mungu anawaombea na akimaliza anawambia nendeni kwenye dhehebu lolote lilokaribu yako na muone mchungaji ili uendelee kuishi kiriho sasa Mkuu yeye anazunguka nchi nzima atawabatiza wangapi?
asikudanganye mtu mambo ya kiroho ni sawa na software kwenye vifaa vya electronics uki-install kwa mwenzake kwa ku define-keys version zitaendana kwahiyo mwamposa anajua mbegu akiipanda kwa roho aliyenaye kuingoa ni kazi watamtafuta tu habari ya kwamba kasali kanisa lolote ni geresha tu yule ni tapeli kama matapeli wengine
 
Nwamposa amesaidia Sana watu kufahamu habari za uzima na habari za Yesu na watu wameamini kupitia mahubir yake ...ni mmiongoni mwa wamisionari wa Karne hii
Unajua maana misionari?
 
Mfanyabiashara wa maji na mafuta ya upako ambayo hayalipiwi kodi ya TRA pia ni mmiliki wa hoteli kubwa Mbalizi Mbeya karibu na Uwanja wa ndege Songwe ,eneo alilonunua lilikuwa la mmiliki wa hospitali ya Ifisi na zoo ya Ifisi, panaitwa Maji moto kama sijakosea.
 
Huyu jamaa ni mfanyabiashara na biashara anayofanya ni ya huduma ya matumaini. Hawa wanaojiita manabii ndio Biashara wanayoifanya. Wanawauza huduma ya matumaini kwa watu waliokata tamaa na Maisha.
 
Kipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
Hipo siku haina jina ambayo mwamposa atawabia wafanye kama mackenzi wa shakaholo
 
Walipotea baada ya kuja kizazi kinachojielewa.

Wale jamaa walikuwa wanatengeneza Pesa ila wao wenyewe ni maskini wa kutupwa
Hawajapotea wala nn, ndo hawa walioamia makanisani na misikitini tunawaita Baba na makuhani
 
Upo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…