Mwenye huyu mtoto mwambieni wazungu wanamshangaa na anaweza kujifungia kwenye fursa nyingi hakaishia na ujinga wake

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Hawa UVCCM huyu kijana sijui Abdul ni sample ya takataka tokea kuumbwa vyoo vya kuflash. kuna kitu kimoja anashindwa kujua siasa anayotumia ili mtandao wa twitter ufunge sababu kuminya demokrasia unaweza kumtokea puani kama kila mtumiaji wa X anaweza kuandika malalamiko anavotumika na jina lake likawa blacklist na kufanya tishio wasije wawekezaji sababu za kauli yake.

X ina makampuni kibao na wawekezaji pamoja na watu wakubwa kama tukimpigia ili ndani ya miezi minne anaweza kujikuta hata facebook na whatsapp hayupo hatakiwi labda hatumie redio tbc na redio upepo kujtangaza siasa.
GSwdKrMXsAADOAo.jpg
 
View attachment 3045484
kwahiyo wakifunga x samia hatatukanwa au ana maanisha nini?
 
Hawa ndo wanufaika wa ujinga wetu
tumekuwa wajinga sana,tunavumilia ujinga
 
Hivi hakuna chuo cha uvccm?? Angalau wangekuwa wanafundishwa content za kuongea mbele ya umma,hiyo ni aibu alafu wapo wengi kweli watu wa namna hiyo..
 
Kijana ameshashiba teyari, anaropoka tu. Hizi mambo hizi tunazilea kuna siku watu watachoka kuumia na kunung'unika moyoni, watatoa yaliyomo ndani kuhamia kwenye mikono(vitendo).

Hallelujah!!!
 
Hawa UVCCM huyu kijana sijui Abdul ni sample ya takataka tokea kuumbwa vyoo vya kuflash. kuna kitu kimoja anashindwa kujua siasa anayotumia ili mtandao wa twitter ufunge sababu kuminya demokrasia unaweza kumtokea puani kama kila mtumiaji wa X anaweza kuandika malalamiko anavotumika na jina lake likawa blacklist na kufanya tishio wasije wawekezaji sababu za kauli yake.

X ina makampuni kibao na wawekezaji pamoja na watu wakubwa kama tukimpigia ili ndani ya miezi minne anaweza kujikuta hata facebook na whatsapp hayupo hatakiwi labda hatumie redio tbc na redio upepo kujtangaza siasa.
View attachment 3045484
dogo amekaa kama chakula ya wahuni.
watoto wajinga kama hawa ni wa kuwabaka..
 
Back
Top Bottom