Mwenye huyu mtoto mwambieni wazungu wanamshangaa na anaweza kujifungia kwenye fursa nyingi hakaishia na ujinga wake

Sasa hiki chama mwenye akili ni nani, ikiwa hata vijana wako kama wamerogwa🙆🙆🙆
nakuambiaje huyo mtoto anavyojitoa akili akiambiwa na wahifidhana wammwagie uji wa uumbaji anakubali. we mwangalie amekaa kichakulachakula
 
Haha jamaa sijui hazimtoshi, eti nawapa serikali miezi minne🤣🤣
 
Badala ya matusi na maneno ya shombo hebu watu wanaojielewa walete mbinu za kuwapanga watu kama hawa.
Kama kuna pa kuanzishia hashtag na iwe!
Naona wapenda demokrasia tumeishiwa pumzi kabsa tunabaki na maneno ya hivi ya kipwani pwani.
Huyu ni adui wa hadi ccm yenyewe kama aliyemkosesha kura Byabato kiaina.
 
Mtoto anatabia za kishangazi huyu si unaona hata Kitambi ka Shishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…