Hii imedhihirisha kuwa wewe ni teacher mwenye machungu kutokana na kutelekezwa kwa mishahara kidogo na unyonyaji wa kila aina.
Pambana ili kuhuisha heshima ya mwalimu hasa kodi ya "pay as you earn" cwt, kutopanda madaraja kwa wakati, mapunjo na mengineyo mengi.