Mwenye katiba ya CWT na Sheria ya vyama vya Wafanyakazi Naomba tafadhali

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Habari za mda huu ndugu zangu.

Ombi langu ni moja. Nahitaji vitu viwili 1.KATIBA YA CWT

2.SHERIA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI

Nitumie hapa hapa au PM

1686028255853.jpg
 
Hii imedhihirisha kuwa wewe ni teacher mwenye machungu kutokana na kutelekezwa kwa mishahara kidogo na unyonyaji wa kila aina.

Pambana ili kuhuisha heshima ya mwalimu hasa kodi ya "pay as you earn" cwt, kutopanda madaraja kwa wakati, mapunjo na mengineyo mengi.
 
Mkuu acha ndoto za mchana utajikojorea
 
Back
Top Bottom