Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

Mwaka 2023 bado kuna watu wana download nyimbo!!!
Bado kuna watu wana play nyimbo kwenye Flash!!
Inashangaza....It's 2023 ffs, Tulishatoka huko.

Kwa ulimwengu wa sasa, kuna namna 2 za kuconsume music.

1. Streaming via Spotify, Apple music, Tidal etc..

2. Using Vinly (hii kwa wabongo bado hatujafika.. ila kwa huko mbele that's another popular way of consuming music)
 
We unafanyaje.
Nastream music Spotify.

Nikiwa home natumia Smart TV yangu kama streamer kuplay Spotify (nimeunganisha TV na sound system).

Nikiwa kazini na stream kupitia Laptop kwa Spotify App ya kwenye Laptop.

Na hizi Apps za Spotify( ya TV na Laptop) hazihitaji hata kulipia, ingawa ukilipia utapata extra features ila kwangu free version inanitosha kabisa... hii hii free version inakupa UNLIMITED music.

Na kustream wala hakuli bando kivile...kawaida tu.

Mambo ya kudownload mziki niliachana nayo miaka 8 iliyopita.
 
Mzee hivi unajua nikizama kule Waptrick.. GB 1 nadownload ngoma hata zaidi ya 500 zenye wastani wa Mb 1 Kwa 'standard download' yake yenye ngoma Hadi za 800kb!? Aisee nadownload sana ngoma oldskool kule

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Tushatoka huko kwenye kudownload nyimbo.

Hivi mbona watu mnakuwa wagumu kuelewa hilo?
This is 2023 jamani.
 
Back
Top Bottom