Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

Confidence is not something you have, it's something you create.

Wanaokushauri bange na Pombe hawakutakii mema, maana hapo hutibu tatizo bali unalivika kilemba tatizo. Ni sawq unavaa miwani myeusi ili uone giza limeingia wakati bado saa 8 mchana.
Jitahidi kuongea mara kwa mara mbele za watu, utaakua sawa.
 
kwa mimi kwangu nadhaniu itakuwa ngumu labda tu nimpambanie mwanangu asije kuwa hivo
 
Kaka nikisema pesa namaanisha pesa nyingi..
Ukiwa huna pesa ugonjwa wa kujiamin hauwezi pona.
sasa nimekusoma broo, unajua tumshaur nini, tumwambie hivi aanze kuwekeza kwenye vitu ambavyo vitamletea hiyo pesa na sio kutafuta pesa in direct hivi unajua hata ukiwa na milion mia tano bank alafu hauna chanzo cha kuleta hiyo pesa hauta hesabika kama na wewe ni miongon mwa watu wenye pesa kwenye jamii unajua kwann? Utani uliza kwanza m500 kapataje bila chanzo ok tufanye kashinda biko au mbet,afu kaweka benk hv na huyu ni atahesabika kwenye kund la watu wenye hela
 
Kwa muda huo atahesabika kuwa ni mutu mwenye ukwasi wa milioni 500, akishindwa kumaintain atahesabika kama kapuku ama tajiri aliyefirisika ama zilipendwa wakati mwengine makimuga.
 
Sativa
Screenshot_20230507-115059.png
 
yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati

kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa kila nikijitahidi mikono inatetemeka tu,
Usihofu litakwisha ila fanya juhudi ya kujichanganya na watu na kuchukua nafasi ya mbele kila wakati.Acha kukaa nyuma ya watu jiweke kwenye nafasi ya kutumikia watu utaona kujiamini kunaongezeka. Vaa vizuri jiweke smart inaongeza kujiamini. Pia ongeza maarifa yako. Kichwa kikijaa nondo za uhakika kujiamini huja pia.
 
Chunguza matendo yako kila sekunde kama ni mazuri au kinyume chake,

kitendo cha kutenda ubaya iwe kwa maneno,mawazo na kwa vitendo kinampa shetani nafasi ya kukunyima uhuru binafsi mbele za watu.

Hivyo kila mara unapojaribu kuelezea jambo vizuri shetani anakukumbusha ubaya uliowai kufanya, hivyo unaacha kufocus na hilojambo haraka sana kwa sababu unakosa hifadhi katika mambo mazuri.

Tubu na kuamini injili.
 
sasa nimekusoma broo, unajua tumshaur nini, tumwambie hivi aanze kuwekeza kwenye vitu ambavyo vitamletea hiyo pesa na sio kutafuta pesa in direct hivi unajua hata ukiwa na milion mia tano bank alafu hauna chanzo cha kuleta hiyo pesa hauta hesabika kama na wewe ni miongon mwa watu wenye pesa kwenye jamii unajua kwann? Utani uliza kwanza m500 kapataje bila chanzo ok tufanye kashinda biko au mbet,afu kaweka benk hv na huyu ni atahesabika kwenye kund la watu wenye hela
[emoji106]
 
yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati

kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa kila nikijitahidi mikono inatetemeka tu,
Kula matunda sana na mboga za majani nakufanya mazoezi!
 
Unatakiwa uelewe kukosea Jambo lolote ni kawaida ..na kila mtu anakosea...
Usione aibu kukosea...
Na wakati huo huo kama ni wa kiume, atafute binti mzuri awe na mahusiano nae. Asisahau kufanya ngono salama, inajenge kujiamini.
 
Puliza bange minara mitatu kisha uende ukapresent, utaongea mpaka kimasai siku hiyo.
 
Mtafute mshkaji wako halafu mwambie "oya nyonga bangi mbiri tuvute"
 
Back
Top Bottom