VizuriHujiamini kwa sababu unapenda kujilinganisha na watu/mtu Fulani. Anza kujipenda na kujiamini na wengine watakupenda pia
kwa mimi kwangu nadhaniu itakuwa ngumu labda tu nimpambanie mwanangu asije kuwa hivoConfidence is not something you have, it's something you create.
Wanaokushauri bange na Pombe hawakutakii mema, maana hapo hutibu tatizo bali unalivika kilemba tatizo. Ni sawq unavaa miwani myeusi ili uone giza limeingia wakati bado saa 8 mchana.
Jitahidi kuongea mara kwa mara mbele za watu, utaakua sawa.
sasa nimekusoma broo, unajua tumshaur nini, tumwambie hivi aanze kuwekeza kwenye vitu ambavyo vitamletea hiyo pesa na sio kutafuta pesa in direct hivi unajua hata ukiwa na milion mia tano bank alafu hauna chanzo cha kuleta hiyo pesa hauta hesabika kama na wewe ni miongon mwa watu wenye pesa kwenye jamii unajua kwann? Utani uliza kwanza m500 kapataje bila chanzo ok tufanye kashinda biko au mbet,afu kaweka benk hv na huyu ni atahesabika kwenye kund la watu wenye helaKaka nikisema pesa namaanisha pesa nyingi..
Ukiwa huna pesa ugonjwa wa kujiamin hauwezi pona.
Kwa muda huo atahesabika kuwa ni mutu mwenye ukwasi wa milioni 500, akishindwa kumaintain atahesabika kama kapuku ama tajiri aliyefirisika ama zilipendwa wakati mwengine makimuga.sasa nimekusoma broo, unajua tumshaur nini, tumwambie hivi aanze kuwekeza kwenye vitu ambavyo vitamletea hiyo pesa na sio kutafuta pesa in direct hivi unajua hata ukiwa na milion mia tano bank alafu hauna chanzo cha kuleta hiyo pesa hauta hesabika kama na wewe ni miongon mwa watu wenye pesa kwenye jamii unajua kwann? Utani uliza kwanza m500 kapataje bila chanzo ok tufanye kashinda biko au mbet,afu kaweka benk hv na huyu ni atahesabika kwenye kund la watu wenye hela
Usihofu litakwisha ila fanya juhudi ya kujichanganya na watu na kuchukua nafasi ya mbele kila wakati.Acha kukaa nyuma ya watu jiweke kwenye nafasi ya kutumikia watu utaona kujiamini kunaongezeka. Vaa vizuri jiweke smart inaongeza kujiamini. Pia ongeza maarifa yako. Kichwa kikijaa nondo za uhakika kujiamini huja pia.yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati
kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa kila nikijitahidi mikono inatetemeka tu,
[emoji106]sasa nimekusoma broo, unajua tumshaur nini, tumwambie hivi aanze kuwekeza kwenye vitu ambavyo vitamletea hiyo pesa na sio kutafuta pesa in direct hivi unajua hata ukiwa na milion mia tano bank alafu hauna chanzo cha kuleta hiyo pesa hauta hesabika kama na wewe ni miongon mwa watu wenye pesa kwenye jamii unajua kwann? Utani uliza kwanza m500 kapataje bila chanzo ok tufanye kashinda biko au mbet,afu kaweka benk hv na huyu ni atahesabika kwenye kund la watu wenye hela
Kula matunda sana na mboga za majani nakufanya mazoezi!yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati
kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa kila nikijitahidi mikono inatetemeka tu,
Unatakiwa uelewe kukosea Jambo lolote ni kawaida ..na kila mtu anakosea...
Usione aibu kukosea...