Scrum Master
JF-Expert Member
- Apr 28, 2021
- 243
- 424
Hapa umemaliza kila kituPole kwa hiyo changamoto. Ni tatizo, lakini si tatizo kubwa saaana. Hapana. "Linatibika". Hata Mimi nilishawahi kuwa na changamoto kama hiyo, na watu wengine wengi, lakini kwa sasa si tatizo tena...
You're truly GoldPole kwa hiyo changamoto. Ni tatizo, lakini si tatizo kubwa saaana. Hapana. "Linatibika". Hata Mimi nilishawahi kuwa na changamoto kama hiyo, na watu wengine wengi, lakini kwa sasa si tatizo tena...
Pole sana mkuu. Unaweza ukafafanua kidogo!Sipendi kumkufuru Muumba wa Mbingu na Ardhi, ila kiukweli hii hali mm pia naipitia na kuna wakati ulifika nilifanya maombi ili tu Mungu aichukue roho yangu maana sioni thamani ya kuishi kabisa
🙏🙏You're truly Gold
Njia pekee ni kukifanya unachokiogopa, na uwe tayari kuyapokea matokeo kwa mtazamo chanya.shida kuna wakati inakuwa poa ila nikipewa nafasi watu wote wanakaa kimya halafu napoteza point kabisaa
Pole sana, ilo ni tatizo moja wapo la akili lakini siku hizi watu wanajua mtu akijua ndio matatizo ya afya ya akili.Sipendi kumkufuru Muumba wa Mbingu na Ardhi, ila kiukweli hii hali mm pia naipitia na kuna wakati ulifika nilifanya maombi ili tu Mungu aichukue roho yangu maana sioni thamani ya kuishi kabisa
Onana na masheikh mkuu, wakusomee Msaafuyaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati
kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa kila nikijitahidi mikono inatetemeka tu,
Mwaka 2011 Kuna project ambayo ilitakiwa tuipresent kwa katibu mkuu was baraza x tulikuwa watatu na tulimchagua mmoja wetu ambaye alitakiwa awe msemaji, dakika kumi kabla ya kuanza mkutano tukaonyeshwa chumba cha mkutano watu wamejaa wrote wapo na notebooks, laptop ni wataalam kutoka idara mbalimbali za serikali pamoja na bank ya Crdb.Piga k-vant ndogo utakuja nishukuru.
Tuma picha ya royal slag mkuuMwaka 2011 Kuna project ambayo ilitakiwa tuipresent kwa katibu mkuu was baraza x tulikuwa watatu na tulimchagua mmoja wetu ambaye alitakiwa awe msemaji, dakika kumi kabla ya kuanza mkutano tukaonyeshwa chumba cha mkutano watu wamejaa wrote wapo na notebooks, laptop ni wataalam kutoka idara mbalimbali za serikali pamoja na bank ya Crdb.
Jamaa tuliyemuandaa kuzungumza akashikwa na yoga akanikanyaga mguu akaniambia hatoweza kuzungumza ameshikwa na woga, basi chap nikatoka nje nikajifanya Kuna documents nimesahau ndani ya gari nikaruka Posta ya zamani nikachukua nyagi ndogo nikabugia fasta nikachukua chewing gum na ndizi mbivu nikala nikarudi nikaingia mkutanoni nikafanya presentation ya hatari pangua maswali moja baada ya nyingine.
Yule katibu akasema vijana wadogo mna mambo makubwa na mko vizuri sana, tulitoka pale tukaenda feri kupunga upepo jamaa zangu hawakuamini kama no mm au mzimu, interview zangu zote nilipiga nikiwa nimelamba kilaji kidogo na zote nilifaulu, ninapoenda nagonga nusu glass ya royal stag iko poa na haina harufu so ni ngumu kwa mtu yeyote aliyekaribu kuhisi harufu.
Vichwa vinatofautiana kuna bwana naye alishauriwa jambo kama hilo kwa bahati mbaya zaidi badala ya presentation akaanza kufoka tena hasa akaharibu kila kitu.Mwaka 2011 Kuna project ambayo ilitakiwa tuipresent kwa katibu mkuu was baraza x tulikuwa watatu na tulimchagua mmoja wetu ambaye alitakiwa awe msemaji, dakika kumi kabla ya kuanza mkutano tukaonyeshwa chumba cha mkutano watu wamejaa wrote wapo na notebooks, laptop ni wataalam kutoka idara mbalimbali za serikali pamoja na bank ya Crdb.