Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

point tena yeye hizi ni sababu ndogo kabisa
 
Sasa unaandika ko🤔 ngoja kina dada waje
 
Tafuta pesa panga mbali na yeye nunua vitu ndani na nguo baadhi. Siku ukiondoka ondoka na nguo ulizovaa basi.
 
Mtu yeyote anayekushauri kwenye hili naye anahitaji ushauri.

Umeelezea upande wako na yeye hatujajua ana yepi yanayomkwaza.

Majibu ya kikenge ni matokeo. Tupe chanzo na ikiwezekana tumsikie na yeye pia
 
Mtu yeyote anayekushauri kwenye hili naye anahitaji ushauri.

Umeelezea upande wako na yeye hatujajua ana yepi yanayomkwaza.

Majibu ya kikenge ni matokeo. Tupe chanzo na ikiwezekana tumsikie na yeye pia
aachane nae tu hakuna cha kusikiliza upande wa pili wala nini kwanza inaonekana hata kwao huyo dada alisha chokwa jamaa akasusiwa tu
 
aachane nae tu hakuna cha kusikiliza upande wa pili wala nini kwanza inaonekana hata kwao huyo dada alisha chokwa jamaa akasusiwa tu
Naam
Tupe picha kamili ya hili jambo tuweze kushauri. Siku hizi wanaume wengi wanazua sababu za kitoto ili kukimbia majukumu ya malezi kwa watoto.

Pia unaposhauri jamaa aachane na huyo mzazi mwenzake, mshauri nini afanye kuhusu malezi ya mtoto. Na chukulia kwamba malezi hayaishii kwenye mahitaji pekee.
 
Nenda hospital yapange na doctor! Then mwende hospital kupima ngoma majibu yakitoka wewe unakuwa positive yeye negative! Baada ya hapo utakuja kunishukuru atakimbia mwenyewe hata kusubiri taraka hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…