Hicho ni kiwanda cha nguo barani Asia.
Kwa Tanzania kiwanda ni mpaka kuwe na jengo kubwa lakini kiuhalisia hata cherehani nne ni kiwanda kidogo.
Tunachoangalia ni 'processing' ya 'raw materials' kutengeneza 'finished product'.
Pia tunaangalia ajira zinazotengenezwa.
Kwenye uzalishaji wa nguo kuna MTU was 'over lock' ya suruali, magauni au mashati.
Kuna mtu wa vifungo, kuna mtu wa kudarizi, kuna mtu wa kukata vitambaa na kudesign.
Cherehani NNE ni kiwanda.
Tangu lini kichaa akapanga mipango ikawa halisi ya kutekelezeka?Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.
Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?
Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?
Ndege zetu zimepaki? yaani.
Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
Bomba la mafuta litaanza mwezi wa 8, mwezi wa tisa makampunj yataingia site na mwezi wa kumi ni uchaguzi hafu ucheck picha.
Hiyo ni miradi ya kimkakati mzee.
SGR dar to moro tutazindua mwezi wa tisa au wa kumi!
Mishahara tutaongeza mwezi wa tano
Wasipopanda si ndo zitageuka skrepa Sasa tukauze Pale GerezaniHivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Kwa hiyo wewe unataka Nini hasa....unalalamika, unasikitika au unafurahia...au unaombea miradi hi mikubwa isifanikiwe?? Unataka Nini hasa?
Hivi ulishawahi kusafili? ili uone barabala zenu zilivyo na mashimo,waulize watu wa Mwanza kutokea Magu mpaka Hungumalwa watakuambia hizo njia zenu zilivyo bomoka ,au watu wa Sherui mpaka Iguguno watakuambia barabala zenu zilivyo,au uliza kijijini kwenu yale majengo yanayotibu wagonjwa kama yana dawa zaidi ya Panadol,labda kama wewe unaishi kwa ahemeji ndiyo huwezi kujua,hata hivyo muulize shemeji atakuambia ugumu wa maisha ulivyo.Muda ndio utasema, hivi sasa hospitali nyingi kuanzia ngazi ya wilaya zinafanya kazi kwa ufanisi zaidi na dawa pamoja na vifaa vinapatikana sasa hiyo ni asilimia ngapi kwa mawazo yako? Barabara nyingi ni za lami na zinaendelea kujengwa sijui ni asilimia ngapi kwa mawazo yako?
BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?
Bahati mbaya mnawapotosha wajinga wenzenu. Taarifa zinatolewa mara kwa mara hamfuatilii, mnakuja humu kuropoka. Pumbavu!
Awaulize wahusika...akishaweka neno 'au ilikuwa mbwembwe tu' huyo gana jema na miradi hiyoAnataka updates ya hiyo miradi aliyoitaja. Mbona uzi wake unaeleweka vyema, au huna majibu ndio unakuja na mikwara kama ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi?
Mara ya mwisho umeangalia Reli TV lini?Acha jazba dogo maana kinachotakiwa hapa ni updates. Hizo sifa kuwa kuna miradi mikubwa ni nyie huwa mnaleta, sasa mnaambiwa mtoe updates mnapanic! Ni rahisi tu, ungeweka link uwakate kilimilimi na sio kupanick.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tulishaambiwa kuwa ukiwa na vyerahani 4 ni kiwanda hicho na wewe ni mwekezaji. Quinine,
In God we Trust
....nilijiuliza si walisema wamejenga viwanda elfu 3 mbona walivyofunga shule/ vyuo kisa mkusanyiko mbona viwanda buku 3 walivisahau au ilikua fix hazipo au vinaendeshwa na maroboti kutoka ujeremaniii😜😜😜 awamu hii ata ukifungua genge la supu wataita ni kiwandaTulishaambiwa kuwa ukiwa na vyerahani 4 ni kiwanda hicho na wewe ni mwekezaji. Quinine,
In God we Trust
.... chama tawala katika ubora wake hongera kujibu hoja huo ndio mwisho wa upeo wakoBahati mbaya mnawapotosha wajinga wenzenu. Taarifa zinatolewa mara kwa mara hamfuatilii, mnakuja humu kuropoka. Pumbavu!
....nilijiuliza si walisema wamejenga viwanda elfu 3 mbona walivyofunga shule/ vyuo kisa mkusanyiko mbona viwanda buku 3 walivisahau au ilikua fix hazipo au vinaendeshwa na maroboti kutoka ujeremaniii[emoji12][emoji12][emoji12] awamu hii ata ukifungua genge la supu wataita ni kiwanda
Mara ya mwisho umeangalia Reli TV lini?
Mafuriko huko ni hatari njia za kuelekea huko katika hiyo Miradi Maji yamejaa Pomoni,mamba nao hawachezi mbali wakiona tu shati za kijani umeenda.
Wataalamu wao hawakuwashauri vizuri sasa kila kitu kimekwama.
.... chama tawala katika ubora wake hongera kujibu hoja huo ndio mwisho wa upeo wako
Hatujadili majungu! Tanzania ilikuwa kwenye hai mbaya sana wakati wa JK, rejea vigenerator kila kona, miradi ya kufua umeme kwa kuwakandamiza Watanzania nk. Wafanyakazi hewa wakati wa JK walishamiri, hata watoto wake nao walikuwa kama marais nk, Membe naye ambaye ni ndugu alitaka kubatiziwa urais what a shame! Waungwana hukaa kimya.
Hoja inapingwa kwa hojaKwani ukikaa kimya unapoteza nini kuliko kutetea upuuzi kwa kutoa tafsiri potofu ya kiwanda?