Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hicho ni kiwanda cha nguo barani Asia.
Kwa Tanzania kiwanda ni mpaka kuwe na jengo kubwa lakini kiuhalisia hata cherehani nne ni kiwanda kidogo.
Tunachoangalia ni 'processing' ya 'raw materials' kutengeneza 'finished product'.
Pia tunaangalia ajira zinazotengenezwa.
Kwenye uzalishaji wa nguo kuna MTU was 'over lock' ya suruali, magauni au mashati.
Kuna mtu wa vifungo, kuna mtu wa kudarizi, kuna mtu wa kukata vitambaa na kudesign.
Cherehani NNE ni kiwanda.
Kwani ukikaa kimya unapoteza nini kuliko kutetea upuuzi kwa kutoa tafsiri potofu ya kiwanda?