Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Hicho ni kiwanda cha nguo barani Asia.
Kwa Tanzania kiwanda ni mpaka kuwe na jengo kubwa lakini kiuhalisia hata cherehani nne ni kiwanda kidogo.
Tunachoangalia ni 'processing' ya 'raw materials' kutengeneza 'finished product'.
Pia tunaangalia ajira zinazotengenezwa.
Kwenye uzalishaji wa nguo kuna MTU was 'over lock' ya suruali, magauni au mashati.
Kuna mtu wa vifungo, kuna mtu wa kudarizi, kuna mtu wa kukata vitambaa na kudesign.
Cherehani NNE ni kiwanda.

Kwani ukikaa kimya unapoteza nini kuliko kutetea upuuzi kwa kutoa tafsiri potofu ya kiwanda?
 
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
Tangu lini kichaa akapanga mipango ikawa halisi ya kutekelezeka?
 
Bomba la mafuta litaanza mwezi wa 8, mwezi wa tisa makampunj yataingia site na mwezi wa kumi ni uchaguzi hafu ucheck picha.
Hiyo ni miradi ya kimkakati mzee.

SGR dar to moro tutazindua mwezi wa tisa au wa kumi!
Mishahara tutaongeza mwezi wa tano

Kaa kimya tu kijana.
 
Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Wasipopanda si ndo zitageuka skrepa Sasa tukauze Pale Gerezani
 
Kwa hiyo wewe unataka Nini hasa....unalalamika, unasikitika au unafurahia...au unaombea miradi hi mikubwa isifanikiwe?? Unataka Nini hasa?

Anataka updates ya hiyo miradi aliyoitaja. Mbona uzi wake unaeleweka vyema, au huna majibu ndio unakuja na mikwara kama ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi?
 
Muda ndio utasema, hivi sasa hospitali nyingi kuanzia ngazi ya wilaya zinafanya kazi kwa ufanisi zaidi na dawa pamoja na vifaa vinapatikana sasa hiyo ni asilimia ngapi kwa mawazo yako? Barabara nyingi ni za lami na zinaendelea kujengwa sijui ni asilimia ngapi kwa mawazo yako?

BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?
Hivi ulishawahi kusafili? ili uone barabala zenu zilivyo na mashimo,waulize watu wa Mwanza kutokea Magu mpaka Hungumalwa watakuambia hizo njia zenu zilivyo bomoka ,au watu wa Sherui mpaka Iguguno watakuambia barabala zenu zilivyo,au uliza kijijini kwenu yale majengo yanayotibu wagonjwa kama yana dawa zaidi ya Panadol,labda kama wewe unaishi kwa ahemeji ndiyo huwezi kujua,hata hivyo muulize shemeji atakuambia ugumu wa maisha ulivyo.
 
Bahati mbaya mnawapotosha wajinga wenzenu. Taarifa zinatolewa mara kwa mara hamfuatilii, mnakuja humu kuropoka. Pumbavu!

Acha jazba dogo maana kinachotakiwa hapa ni updates. Hizo sifa kuwa kuna miradi mikubwa ni nyie huwa mnaleta, sasa mnaambiwa mtoe updates mnapanic! Ni rahisi tu, ungeweka link uwakate kilimilimi na sio kupanick.
 
Anataka updates ya hiyo miradi aliyoitaja. Mbona uzi wake unaeleweka vyema, au huna majibu ndio unakuja na mikwara kama ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi?
Awaulize wahusika...akishaweka neno 'au ilikuwa mbwembwe tu' huyo gana jema na miradi hiyo
 
Acha jazba dogo maana kinachotakiwa hapa ni updates. Hizo sifa kuwa kuna miradi mikubwa ni nyie huwa mnaleta, sasa mnaambiwa mtoe updates mnapanic! Ni rahisi tu, ungeweka link uwakate kilimilimi na sio kupanick.
Mara ya mwisho umeangalia Reli TV lini?
 
Tulishaambiwa kuwa ukiwa na vyerahani 4 ni kiwanda hicho na wewe ni mwekezaji. Quinine,

In God we Trust
....nilijiuliza si walisema wamejenga viwanda elfu 3 mbona walivyofunga shule/ vyuo kisa mkusanyiko mbona viwanda buku 3 walivisahau au ilikua fix hazipo au vinaendeshwa na maroboti kutoka ujeremaniii😜😜😜 awamu hii ata ukifungua genge la supu wataita ni kiwanda
 
Mafuriko huko ni hatari njia za kuelekea huko katika hiyo Miradi Maji yamejaa Pomoni,mamba nao hawachezi mbali wakiona tu shati za kijani umeenda.

Wataalamu wao hawakuwashauri vizuri sasa kila kitu kimekwama.
 
Umeonaeeeee?
....nilijiuliza si walisema wamejenga viwanda elfu 3 mbona walivyofunga shule/ vyuo kisa mkusanyiko mbona viwanda buku 3 walivisahau au ilikua fix hazipo au vinaendeshwa na maroboti kutoka ujeremaniii[emoji12][emoji12][emoji12] awamu hii ata ukifungua genge la supu wataita ni kiwanda

In God we Trust
 
Mara ya mwisho umeangalia Reli TV lini?

Nilipoanza kuona taarifa ya reli TV na taarifa za waziri zinapishana, nilijua huo ni uhuni kama uhuni mwingine. Kimsingi mimi nikiambiwa jambo naangalia na kusikiliza zaidi ya sehemu moja, nikiona tu taarifa zinatofautiana napuuza moja kwa moja hizo taarifa za jambo husika.

TRC wana account yao verified hapa jf, lakini ni nadra wao kutoa ufafanuzi husika pindi wanapokutana na maswali ya msingi. Huwa wanajibu baadhi lakini ni maswali yaliyowazi, I guess ni kama kuna watu wao wengine wanaojuana huuliza maswali mepesi, kisha hiyo verified account ndio inayajibu
 
Subiri tupambane na korona kwanza wewe, haraka ya nini?
 
Nimecheka sana aisee yaani mamba wanachagua mashati ya rangi za kijani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mafuriko huko ni hatari njia za kuelekea huko katika hiyo Miradi Maji yamejaa Pomoni,mamba nao hawachezi mbali wakiona tu shati za kijani umeenda.

Wataalamu wao hawakuwashauri vizuri sasa kila kitu kimekwama.

In God we Trust
 
Hatujadili majungu! Tanzania ilikuwa kwenye hai mbaya sana wakati wa JK, rejea vigenerator kila kona, miradi ya kufua umeme kwa kuwakandamiza Watanzania nk. Wafanyakazi hewa wakati wa JK walishamiri, hata watoto wake nao walikuwa kama marais nk, Membe naye ambaye ni ndugu alitaka kubatiziwa urais what a shame! Waungwana hukaa kimya.

Kama ni tatizo la umeme hata sasa limerudi na hali hii imeanza toka November mwaka jana, na kadiri siku zinavyosegea tatizo linazidi kuwa kubwa. Alichochokuwa anakifanya JK ni kama Magufuli kabidili tu version. Hata Magufuli sasa tunaona akiagiza viongozi kama RC's, Dc's nk kutumia madaraka yao kunyanyasa wote wenye itikadi tofauti na chama chake. Sasa hapo hivi ule uhuru wa wananchi kusema matatizo yao na kuonyesha hisia zao hautakiwi, bali kinachotakiwa ni kusifia tu, na matatizo yote haya yakiripotiwa hushughulikiwa kwa utashi wa viongozi.
 
Back
Top Bottom