Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Sasa hivi tunalia wote dadadeki kila mtu njaa hakuna cha Dokta Magu wala cha naniiYupo mmoja tu anayeweza zungumza na Watanzania wote moja kwa moja na anaenda kwa jina la Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Jisemee mkuu, kama wewe kwako Hali si njema, kuna watu huko wanapiga pesa,wanatengeneza pesa kuliko Wakati wowote ule, halafu wewe unakuja na ngonjera za kushindwa kwako ulazimishe na wengine wawe kama wewe?Sasa hivi tunalia wote dadadeki kila mtu njaa hakuna cha Dokta Magu wala cha nanii
Ni daktari WA nini?Yupo mmoja tu anayeweza zungumza na Watanzania wote moja kwa moja na anaenda kwa jina la Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Sasa ni saa 3 kamili na kesho ni siku ya kazi je mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe mkutano wake na waandishi wa habari bado upo au umeahirishwa?
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa.......nadhani anaogopa viboko!Tulia Bwashee utapewa taarifa ,endelea kunywa mtori nyama zipo chini.
FIVE AGAIN ,DEVELEOPMENT HAS NO PARTY.
Kesho utasikia Halima James Mdee naye anaongea na Bawacha!Kwa kweli aongee
Hatujamsikia siku nyingi?
Magu hajampa nafasi ya ubunge?
Hata urais wa Yanga hawezi kupata!Wapinzani wametuchelewesha sana...
Kwani vijana wake wanasemaje?Sasa ni saa 3 kamili na kesho ni siku ya kazi je mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe mkutano wake na waandishi wa habari bado upo au umeahirishwa?
Maendeleo hayana vyama!
[emoji23][emoji23][emoji23]Tangu Mbowe hadi kina Mmawia wote wana sharubuHahahaaaa...... Bwawa la kambale!
Hahahaaaa......![emoji23][emoji23][emoji23]Tangu Mbowe hadi kina Mmawia wote wana sharubu
Bwashee! Wapinzani si ndio wamevuruga maendeleo ya nchi hii?Hata urais wa Yanga hawezi kupata!
Unataka wasalitiwe kwa kiwango gani, Tundu Lissu aliwaaminisha watu uchaguzi wa 2020 unafuatiliwa duniani kote laki akatahadharisha mara kadhaa kama haki haikutendeka kwenye matokeo ya uchaguzi aliapa wananchi kuidai, sasa ajabu kumbe ana ticket ya kurud belgium bada magu kutangazwa hakutekeleza ahadi alizotoa aliwasaliti wanachadems na kutimkia zake belgiaumChadema haijawahi kuwasaliti wapiga kura wake
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app