Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

Sasa hivi tunalia wote dadadeki kila mtu njaa hakuna cha Dokta Magu wala cha nanii
Jisemee mkuu, kama wewe kwako Hali si njema, kuna watu huko wanapiga pesa,wanatengeneza pesa kuliko Wakati wowote ule, halafu wewe unakuja na ngonjera za kushindwa kwako ulazimishe na wengine wawe kama wewe?
 
Sasa ni saa 3 kamili na kesho ni siku ya kazi je mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe mkutano wake na waandishi wa habari bado upo au umeahirishwa?

Maendeleo hayana vyama!
 
Ilisemwa ni leo saa 7 mchana, nadhani atakuwa amechelewa tu kufika kwenye ukumbi wa mikutano. Endeleeni kusubiri hapo hapo msitoke.
 
Kwa kweli aongee
Hatujamsikia siku nyingi?

Magu hajampa nafasi ya ubunge?
 
Wapinzani wametuchelewesha sana.
Wametawala toka uhuru hadi wanyonge wanateseka tu kwa kukosa ajira, maji, umeme, baranara, teknolojia, elimu bora, n.k.

Nasemaje Mbowe leo tangaza kuachia urais wa nchi ili wanyonge tule mema ya nchi hii. Nchi hii ni tajiri sana ila Mbowe ameifilisi kabisa.

Mtano tena, au nasema uongo ndugu zanu?
 
Chadema haijawahi kuwasaliti wapiga kura wake

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Unataka wasalitiwe kwa kiwango gani, Tundu Lissu aliwaaminisha watu uchaguzi wa 2020 unafuatiliwa duniani kote laki akatahadharisha mara kadhaa kama haki haikutendeka kwenye matokeo ya uchaguzi aliapa wananchi kuidai, sasa ajabu kumbe ana ticket ya kurud belgium bada magu kutangazwa hakutekeleza ahadi alizotoa aliwasaliti wanachadems na kutimkia zake belgiaum
 
Back
Top Bottom