BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Utambulike kama shujaa huku umekufa kwa njaa?Mnyika na mbowe okoeni chama. Hata kikifa kwa kukosa ruzuku, mtakuwa mmeingia kwenye historia ya mashujaa wa demokrasia Tanzania. Tafadhali fukuza Kenan na wabunge viti maalaum wote wa chadema. Hawa si wanachama wa chadema. Ni wahuni tu.
Mnyika na mbowe okoeni chama. Hata kikifa kwa kukosa ruzuku, mtakuwa mmeingia kwenye historia ya mashujaa wa demokrasia Tanzania. Tafadhali fukuza Kenan na wabunge viti maalaum wote wa chadema. Hawa si wanachama wa chadema. Ni wahuni tu.
Utambulike kama shujaa huku umekufa kwa njaa?
Punguza jazba, usifoke!Kuweka misimamo wazi siyo kuropoka.
Kwamba kuna mbunge bungeni na haafikiani na msingi mkuu wa chama kuhusiana na haramu ya uchaguzi wa 2020, kumlea huyo ni kulea kansa.
"If you disobey you go."
Hiyo si kuropoka. Huo ni msimamo thabiti!
We na makamanda wenzio ndo mnajichanganya, chama kilishajipambanua kama chama kisichoeleweka kinasimamia nini na kinataka nini. ili uendane nao na we inabidi usieleweke tu
Mliwajua ila mkaendelea kuwa nao! Hivi hua mnajisikia hata mnayoyaongea?Maumivu hayatakaa yawaishe.
Kila mnachojaribu mnatahamaki tuko vizuri zaidi.
Kwamba kina Esther kwani hatukujua ni maafisa vipenyo mliowapenyeza kama kina katawi?
Habari mbaya kwenu: "mapambano bado yanaendelea na kuvuja kwa pakacha hakujawahi kuwa issue kwa mchukuzi."
Nani atasajili chama cha yule kichaa.Kitakuwa chama cha siasa au cha kigaidi??Hiki ndo ambacho nilikua nakiwaza, nadhani tumemfahamu Tundu Lissu kwa muda mrefu, ni wakati wa kuanzisha chama chake sasa, hakika watu wenye misimamo kama yake tupo na labda itakua ndio njia mpya kuelekea serikali mpya. Ila kwa Chadema i think tumeona sura harisi ya walio wengi kule katika uongozi, tamaa na kutokujiamini na kutochange mbinu vinawamaliza very slowly, God forbid !!!!
Mliwajua ila mkaendelea kuwa nao! Hivi hua mnajisikia hata mnayoyaongea?
Ni yeyeWameenda bungeni kwa baraka za Mbowe [emoji23]...
Ndio maana Mbowe ametulia kimya, haya nyie nyumbxxxxx endeleeni kuzungusha mikono kwa style nyingine saivi .
Well kitasajiliwa tu, he is good enough na unafahamu hilo, ndo sababu una admit kwa kumfananisha na gaidi, means msimamo wake unatisha, kwa hayo machane ana qualify kuunda chama na kikaaminiwa.Nani atasajili chama cha yule kichaa.Kitakuwa chama cha siasa au cha kigaidi??
Mtajijua nyie wenyewe wazee ndoa ya jinsia moja.
Utaona midomo yao itakavyohara hiyo kesho. Halima kachukua, kaweka, waaa tatu bila walah.Unataka Mbowe na Mnyika wawe wanalopoka kama jiwe la Chato....