Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

Ninajua Mh. Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana Chadema, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CDM zipone. Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lkn "siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Mh. Mbowe, hili ni muhimu.
Kesho yeye ndio ataongoza kikao cha KK baada kikao atakuja public kueleza maamzi ya KK.
 
Halima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums. Tatizo la wafuasi wa CDM ni kuweka Imani sana kwenye chama na kuhisi kinapigania maslahi ya wananchi. Watu wapo kimaslahi yao zaidi. Mnapelekwapelekwa tu, hiyo kamati kuu itakaa kuwazuga tu Ila mwisho wa huu mchezo unajulikana kwa mwenye akili.

Mdee asingeweza kuongea vile bila baraka za mwenyekiti. Kwa u sensitive wa ishu Mbowe angekuwa hausiki angechukua flight mara moja na Jana angekuwa na Mnyika, mmemuona au kumsikia!?..

Wabunge waliohudhuria bungeni wenzao wakikimbia Corona walifukuzwa mara moja bila kusikilizwa, Ila waliofoji nyaraka wakaasi na kuapishwa bungeni ndo wamepewa masaa 48 waje kusikilizwa... Bado hamuelewi mchezo!??.
 
Ninajua Katibu Mkuu wa CHADEMA, John John Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana CHADEMA, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CHADEMA zipone.

Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lakini "Siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.

Hili ni muhimu.
Mkuu, kesho siyo mbali
 
Umeambiwa kamati kuu inakaa kesho una haraka gani wewe?
 
Halima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums. Tatizo la wafuasi wa CDM ni kuweka Imani sana kwenye chama na kuhisi kinapigania maslahi ya wananchi. Watu wapo kimaslahi yao zaidi. Mnapelekwapelekwa tu, hiyo kamati kuu itakaa kuwazuga tu Ila mwisho wa huu mchezo unajulikana kwa mwenye akili. Mdee asingeweza kuongea vile bila baraka za mwenyekiti. Kwa u sensitive wa ishu Mbowe angekuwa hausiki angechukua flight mara moja na Jana angekuwa na Mnyika, mmemuona au kumsikia!?.. Wabunge waliohudhuria bungeni wenzao wakikimbia Corona walifukuzwa mara moja bila kusikilizwa, Ila waliofoji nyaraka wakaasi na kuapishwa bungeni ndo wamepewa masaa 48 waje kusikilizwa... Bado hamuelewi mchezo!??... Ndo maana mkaitwa NYUMBU. Hamtumii ubongo kufikiri.
Wewe ukijiondoa JF utatupunguzia nini? ondoka hata leo
 
Kuna Mwenzako aliahidi kutembea uchi
 
Nakushauri ujitoe tu JF kuanzia leo maana dhambi ya uasi adhabu yake ni kufukuzwa chama na kunguru wote 19 tunawafuza.
 
Mleta mada uko sahihi!

Kuongezea tu ni kuwa Mwenyekiti ametajwa personally na Halima Mdee kuwa wana baraka zake, Ni muhimu Mwenyekiti aje afafanue hili

Tena la kuongezea tu ni kuwa:

Chadema lazima wachukue hatua za kueleweka katika suala hili.

Bila kuwafukuza uanachama wasaliti hawa tutajua uongozi wa Juu unahusika!

Maneno ya Mnyika si mabaya lakini hatua za kinidhamu kali za kufukuzwa chamani Wasaliti hawa ni lazima zichukuliwe ikiwemo kuripoti kosa la kufoji mihuri na nyaraka zozote za chama polisi.

Chadema isiporipoti suala hili polisi bila kujali polisi watalipokea au la tutaweka question mark kubwa kwenye utetezi wa Mnyika!
 
Mizimu yangu inaniambia Mwenyekiti ni muhusika mkuu kwenye hii Filamu ya Kuapishwa Dodoma.
 
Back
Top Bottom