johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe ana biashara zake za kusimamia, J J Mnyika anatosha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho yeye ndio ataongoza kikao cha KK baada kikao atakuja public kueleza maamzi ya KK.Ninajua Mh. Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana Chadema, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CDM zipone. Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lkn "siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Mh. Mbowe, hili ni muhimu.
Kamati kuu yenyewe bado ipo?!Kesho yeye ndio ataongoza kikao cha KK baada kikao atakuja public kueleza maamzi ya KK.
Haipo.Kamati kuu yenyewe bado ipo?!
Hawa Bavicha ni bure kabisa!Halima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums. Tatizo la wafuasi wa CDM ni kuweka Imani sana kwenye chama na kuhisi kinapigania maslahi ya wananchi...
Sasa wabunge waje kufanya nini?Haipo.
Mkuu, kesho siyo mbaliNinajua Katibu Mkuu wa CHADEMA, John John Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana CHADEMA, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CHADEMA zipone.
Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lakini "Siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Hili ni muhimu.
Usiikimbie I'd yako tuHalima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums.
Umeambiwa kamati kuu inakaa kesho una haraka gani wewe?Ninajua Katibu Mkuu wa CHADEMA, John John Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana CHADEMA, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CHADEMA zipone.
Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lakini "Siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Hili ni muhimu.
Sure tuwape muda siyo mbaliMkuu, kesho siyo mbali
HUJANIELEWA, RE-READUmeambiwa kamati kuu inakaa kesho una haraka gani wewe?
Kama hutaki kuitwa NYUMBU anza kutumia akili Basi.Nyumbu ni wewe na Mumeo
Wewe ukijiondoa JF utatupunguzia nini? ondoka hata leoHalima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums. Tatizo la wafuasi wa CDM ni kuweka Imani sana kwenye chama na kuhisi kinapigania maslahi ya wananchi. Watu wapo kimaslahi yao zaidi. Mnapelekwapelekwa tu, hiyo kamati kuu itakaa kuwazuga tu Ila mwisho wa huu mchezo unajulikana kwa mwenye akili. Mdee asingeweza kuongea vile bila baraka za mwenyekiti. Kwa u sensitive wa ishu Mbowe angekuwa hausiki angechukua flight mara moja na Jana angekuwa na Mnyika, mmemuona au kumsikia!?.. Wabunge waliohudhuria bungeni wenzao wakikimbia Corona walifukuzwa mara moja bila kusikilizwa, Ila waliofoji nyaraka wakaasi na kuapishwa bungeni ndo wamepewa masaa 48 waje kusikilizwa... Bado hamuelewi mchezo!??... Ndo maana mkaitwa NYUMBU. Hamtumii ubongo kufikiri.
Wewe unatumia akili ?Kama hutaki kuitwa NYUMBU anza kutumia akili Basi.
Kuna Mwenzako aliahidi kutembea uchiHalima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums. Tatizo la wafuasi wa CDM ni kuweka Imani sana kwenye chama na kuhisi kinapigania maslahi ya wananchi. Watu wapo kimaslahi yao zaidi. Mnapelekwapelekwa tu, hiyo kamati kuu itakaa kuwazuga tu Ila mwisho wa huu mchezo unajulikana kwa mwenye akili. Mdee asingeweza kuongea vile bila baraka za mwenyekiti. Kwa u sensitive wa ishu Mbowe angekuwa hausiki angechukua flight mara moja na Jana angekuwa na Mnyika, mmemuona au kumsikia!?.. Wabunge waliohudhuria bungeni wenzao wakikimbia Corona walifukuzwa mara moja bila kusikilizwa, Ila waliofoji nyaraka wakaasi na kuapishwa bungeni ndo wamepewa masaa 48 waje kusikilizwa... Bado hamuelewi mchezo!??... Ndo maana mkaitwa NYUMBU. Hamtumii ubongo kufikiri.
Nakushauri ujitoe tu JF kuanzia leo maana dhambi ya uasi adhabu yake ni kufukuzwa chama na kunguru wote 19 tunawafuza.Halima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums. Tatizo la wafuasi wa CDM ni kuweka Imani sana kwenye chama na kuhisi kinapigania maslahi ya wananchi. Watu wapo kimaslahi yao zaidi. Mnapelekwapelekwa tu, hiyo kamati kuu itakaa kuwazuga tu Ila mwisho wa huu mchezo unajulikana kwa mwenye akili. Mdee asingeweza kuongea vile bila baraka za mwenyekiti. Kwa u sensitive wa ishu Mbowe angekuwa hausiki angechukua flight mara moja na Jana angekuwa na Mnyika, mmemuona au kumsikia!?.. Wabunge waliohudhuria bungeni wenzao wakikimbia Corona walifukuzwa mara moja bila kusikilizwa, Ila waliofoji nyaraka wakaasi na kuapishwa bungeni ndo wamepewa masaa 48 waje kusikilizwa... Bado hamuelewi mchezo!??... Ndo maana mkaitwa NYUMBU. Hamtumii ubongo kufikiri.